Kuna wakati Katibu mwenezi na msemaji wa CCM alikuwa akitumia maneno "nataka" Kasimu Majaliwa, Waziri, wakuu wa mikoa, nk wafanye hivi na vile. Utamaduni huu ni mpya kwa watanzania kuona msemaji wa CCM akiwa na nguvu nyingi kama hizi.

Serikali imebanwa sana na upinzani?
CCM imepasuka?

Waziri Mkuu hafanyikazi yake? Hatakiwi?

Kifo cha Maguli kinaisumbua serikali?

Haya ni miongoni mwa maswali tunayojiuliza Watanzania baada ya ujio wa Makonda.
Huyo mshamba aliyekufa ndio katuletea huyo mshamba.
 
Nani ni mkubwa kati ya Makonda na Waziri Mkuu?
Waziri mkuu ni muajiriwa wa ccm. Jua hilo kwanza. Na Makonda ni boss katika chama.

Kwa hiyo waziri mkuu boss wake ni makonda na waziri mkuu yupo pale kusimamia maagizo ya chama kupitia ilani ya uchaguzi ikiwa ni pamoja na kupokea maelekezo na miongozo kutoka ndani ya CCM.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Chama kiko juu ya Serikali.... ndio maana huwa kinampa maelekezo Rais kuhusu nini cha kufanya.

Kwenye chama muundo uko hivi

1. Mwenyekiti
2. Makamu Bara na Makamu Znz
3. Katibu Mkuu
4. Makatibu wakuu

Wengine wote ni punda tu
 
Mwenezi ni sawa na HR kwenye kampuni, au taasisi yoyote ile.
Anauwezo wa kumuwajibisha hata mkurugenzi kimfumo. Na mkurugenzi akitaka asiwajibishwe na RASILIMALI WATU (HR) labda amfukuze kazi. Ndiomaana unaona ma HR makini kwenye makampuni hawadumu.

Hivyo MAKONDA yupo sahihi kuhoji kuhusu yeyote ambae hafuati/hawajibiki kutokana na ilani ya chama chao.
 
kinachotakiwa ni Kero ziondoke kuanzia umeme, mafuta , uwajibikaji hafifu , miradi ya kimkakati kukamilika .
Kama Makonda atafanikisha Hilo na iwe hivyo
 
Unatumia nguvu kubwa sana mkuu. Swali dogo hapo kifungu cha a na b tusiende mbali. SERA au policy! sera za kitu gani? Kwa ajili ya nan?
Nan anazitimiza? Kina nan wanawajibika kwa hizo sera?
Nani anapaswa kujua sera hizo zinatekelezwa kama ilivyoahidiwa?
 
Ilikuwa dharau kumpa Waziri mkuu muda. Yani hata Rais mwenyewe hawezi kufanya vile. Mtatoa ufafanuzi Hadi mchoke
Nashaur kama upo serous mkuu jarib kusoma soma japo unapopata muda politics zinafanyaje kaz.unless if ur facebook oriented
 
Back
Top Bottom