Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda
Basi Nkapa alikuwa mshamba, hizo ni siasa za uchaguzi. Hupashwi kuweka chuki, unasamehe na kuendelea.
No, that’s a political war and that’s how it’s fought. Asiyeviweza asivianzishe!

Angemtumia majambazi au kumbambikizia kesi hapo angekuwa amekosea!
 
Ila mkapa hakuwa na visasi kabisa maana angekuwa na visasi asingemteuwa Pesa Mbili Mramba maana alimgongea mkewe baada ya yeye kumwacha mke wake.
 
Acha kuandika pumba unadhani kila mtu ni mjinga ? Uliza aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma 1995 hadi 2000 ni nani
Unatumia source za Google??? Hizo ni editable, wahuni wanazichezea sana.

Anayeweza kupinga andiko langu ni Anna Makinda mwenyewe. Alikuwa anapalilia miparachihi kwao kule kwa miaka 10. Huo uRC alifanya saa ngapi??

Nimeandika kuwa Makinda yuko hai, kamuulizeni.
 
Anna Makinda amekula mema ya nchi toka usichana wake. Hapa kwenye picha akiwa na Bibi Titi Mohammed.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    20.4 KB · Views: 10
Basi Nkapa alikuwa mshamba, hizo ni siasa za uchaguzi. Hupashwi kuweka chuki, unasamehe na kuendelea.
Vijana wa TEC wote washamba hata Magu aliwashughulikia kwelikweli aliposhika hatamu kuna watu kama Sophia Simba, Lowassa na Membe waliisoma namba hata huyu VP wa sasa alitupwa mbali huko.
 
😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Unatumia source za Google??? Hizo ni editable, wahuni wanazichezea sana.

Anayeweza kupinga andiko langu ni Anna Makinda mwenyewe. Alikuwa anapalilia miparachihi kwao kule kwa miaka 10. Huo uRC alifanya saa ngapi??

Nimeandika kuwa Makinda yuko hai, kamuulizeni.
Chutama!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .

Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa bado ni mdada mashallah na ni mjumbe wa UWT, RC na mNEC, alipita mbele ya Mkapa aliyekuwa amekaa na kundi lake dogo, akapiga vigelegele vya dhihaka dhidi ya Mkapa na washirika wake huku akishushia kibwagizo cha "utajiju Kikwete ndiye mgombea wetu".
*Utajiju ulikuwa msemo maarufu toka wimbo wa taarabu uliotamba sana wakati huo ulioimbwa na Nasma Hamis Kidogo, aliyekuwa mshindani mkubwa wa Khadija Kopa.

Mkapa alikwazwa sana na vile vigelegele vya Anna Makinda, lakini ikamlqzimu kumezea, ila hakusahau. Wanaccm wengi waliamini Mkapa hawezi kuteuliwa kuwa mgombea urais kwani alikuwa ni mtu asiyejulikana kabisa ktk medani za siasa.

Lkn Mungu siyo Sexless, yakatokea ya kutokea Mkapa akateuliwa kuwa mpeperusha bendera wa ccm na akapata urais. Eeeh bwana eeh!!

Breki ya kwanza wakati Mkapa anaunda serikali yake katika kuteua wakuu wa mikoa, Anna Makinda akatumbuliwa uRC. Hapo watu wakadhani labda anaandaliwa cheo kikubwa zaidi (kama ilivyotokea kwa spika Tulia hivi karibuni).

Hatujakaa sawa, Anna Makinda akaondolewa uNEC. Huku na huku akavuliwa mpk ujumbe wa UWT. Anna Makinda akarudi kijijini kwao Njombe kupalilia miparachihi. Ndipo hapo kila mtu akaanza kujiuliza kuna nini? Anna Makinda alikaa miaka 10 yote ya Mkapa bila cheo cha aina yoyote. Kwa maneno mengine ni kwamba, Anna Makinda alikaa miaka 10 ya Mkapa akiwa kapa.

Baada ya miaka 10 ya Mkapa kukamilika Kikwete akapewa kijiti, yaani akapata urais. Kikwete akamrejesha Anna Makinda kwenye uga wa kisiasa na hatimaye kuwa spika wa kwanza mwanamke.

Ulikuwa unayajua haya?? Msogezeeni mic Anna Makinda ili awathibitishie.
Hakukua na wimbo wa nasma khamis unaosema utajiju 1995 kushuka chini
Ana makinda ni kitengo,amecheza kwenye power corridors longer sana mzee,huyo na Sophia nani sijui ambaye yupo tu tangu jk wa kwanza
 
Wimbo wake mwingine huu hapa.
Achia ngazi mimi ni mchuma, unaondoka huo.......
Taarabu imo, taarabu imo.
Achia ngazi mimi ni mchuma unaondoka huo...

Wadudu, wananyevua nyevua l.
Achia ngazi bibi mchuma unaondoka,hii 1999-2000
 
Back
Top Bottom