Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,700
Reaction score
65,340
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .

Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa bado ni mdada mashallah na ni mjumbe wa UWT, RC na mNEC, alipita mbele ya Mkapa aliyekuwa amekaa na kundi lake dogo, akapiga vigelegele vya dhihaka dhidi ya Mkapa na washirika wake huku akishushia kibwagizo cha "utajiju Kikwete ndiye mgombea wetu".
*Utajiju ulikuwa msemo maarufu toka wimbo wa taarabu uliotamba sana wakati huo ulioimbwa na Nasma Hamis Kidogo, aliyekuwa mshindani mkubwa wa Khadija Kopa.

Mkapa alikwazwa sana na vile vigelegele vya Anna Makinda, lakini ikamlazimu kumezea, ila hakusahau. Wanaccm wengi waliamini Mkapa hawezi kuteuliwa kuwa mgombea urais kwani alikuwa ni mtu asiyejulikana kabisa katika medani za siasa.

Lakini yakatokea ya kutokea Mkapa akateuliwa kuwa mpeperusha bendera wa CCM na akapata urais. Eeeh bwana eeh!!​

Breki ya kwanza wakati Mkapa anaunda serikali yake katika kuteua wakuu wa mikoa, Anna Makinda akatumbuliwa URC. Hapo watu wakadhani labda anaandaliwa cheo kikubwa zaidi (kama ilivyotokea kwa spika Tulia hivi karibuni).

Hatujakaa sawa, Anna Makinda akaondolewa uNEC. Huku na huku akavuliwa mpaka ujumbe wa UWT. Anna Makinda akarudi kijijini kwao Njombe kupalilia miparachihi. Ndipo hapo kila mtu akaanza kujiuliza kuna nini? Anna Makinda alikaa miaka 10 yote ya Mkapa bila cheo cha aina yoyote. Kwa maneno mengine ni kwamba, Anna Makinda alikaa miaka 10 ya Mkapa akiwa kapa.

Baada ya miaka 10 ya Mkapa kukamilika Kikwete akapewa kijiti, yaani akapata urais. Kikwete akamrejesha Anna Makinda kwenye uga wa kisiasa na hatimaye kuwa spika wa kwanza mwanamke.

Ulikuwa unayajua haya?? Msogezeeni mic Anna Makinda ili awathibitishie.
 
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .

Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa bado ni mdada mashallah na ni mjumbe wa UWT, RC na mNEC, alipita mbele ya Mkapa aliyekuwa amekaa kundi lake dogo, akapiga vigelegele vya dhihaka dhidi ya Mkapa na washirika wake huku akishushia kibwagizo cha "utajiju Kikwete ndiye mgombea wetu".
*Utajiju ulikuwa msemo maarufu toka wimbo wa taarabu uliotamba sana wakati huo ulioimbwa na Nasma Hamis Kidogo, aliyekuwa mshindani mkubwa wa Khadija Kopa.

Mkapa alikwazwa sana na vile vigelegele vya Anna Makinda, lakini ikamlqzimu kumezea, ila hakusahau. Wanaccm wengi waliamini Mkapa hawezi kuteuliwa kuwa mgombea urais kwani alikuwa ni mtu asiyejulikana kabisa ktk medani za siasa.

Lkn Mungu siyo Sexless, yakatokea ya kutokea Mkapa akateuliwa kuwa mpeperusha bendera wa ccm na akapata urais. Eeeh bwana eeh!!

Breki ya kwanza wakati Mkapa anaunda serikali yake katika kuteua wakuu wa mikoa, Anna Makinda akatumbuliwa uRC. Hapo watu wakadhani labda anaandaliwa cheo kikubwa zaidi (kama ilivyotokea kwa spika Tulia hivi karibuni).

Hatujakaa sawa, Anna Makinda akaondolewa uNEC. Huku na huku akavuliwa mpk ujumbe wa UWT. Anna Makinda akarudi kijijini kwao Njombe kupalilia miparachihi. Ndipo hapo kila mtu akaanza kujiuliza kuna nini? Anna Makinda alikaa miaka 10 yote ya Mkapa bila cheo cha aina yoyote. Kwa maneno mengine ni kwamba, Anna Makinda alikaa miaka 10 ya Mkapa akiwa kapa.

Je ni kwelinkuwa hakuwahi kuolewa wala hana mtoto?
Maana kama hana ndia wala mtoto na amepambana hivyo basi ni very strong mtu mke safi sana.
 
Mshangazi sasa ulikuwepo?!
 
akishushia kibwagizo cha "utajiju Kikwete ndiye mgombea wetu".
*Utajiju ulikuwa msemo maarufu toka wimbo wa taarabu uliotamba sana wakati huo ulioimbwa na Nasma Hamis Kidogo, aliyekuwa mshindani mkubwa wa Khadija Kopa.
Hapa umeongeza chumvi. Mwaka 1995 hilo neno UTAJIJU halikuwa maarufu. Hilo neno limekuwa maarufu miaka ya 2000. Pia 1995 Nasma hakuwa na wimbo wowote maarufu (hit song). Hii stori yako ni ya kupuuzwa.
 
Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) .

Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa bado ni mdada mashallah na ni mjumbe wa UWT, RC na mNEC, alipita mbele ya Mkapa aliyekuwa amekaa kundi lake dogo, akapiga vigelegele vya dhihaka dhidi ya Mkapa na washirika wake huku akishushia kibwagizo cha "utajiju Kikwete ndiye mgombea wetu".
*Utajiju ulikuwa msemo maarufu toka wimbo wa taarabu uliotamba sana wakati huo ulioimbwa na Nasma Hamis Kidogo, aliyekuwa mshindani mkubwa wa Khadija Kopa.

Mkapa alikwazwa sana na vile vigelegele vya Anna Makinda, lakini ikamlqzimu kumezea, ila hakusahau. Wanaccm wengi waliamini Mkapa hawezi kuteuliwa kuwa mgombea urais kwani alikuwa ni mtu asiyejulikana kabisa ktk medani za siasa.

Lkn Mungu siyo Sexless, yakatokea ya kutokea Mkapa akateuliwa kuwa mpeperusha bendera wa ccm na akapata urais. Eeeh bwana eeh!!

Breki ya kwanza wakati Mkapa anaunda serikali yake katika kuteua wakuu wa mikoa, Anna Makinda akatumbuliwa uRC. Hapo watu wakadhani labda anaandaliwa cheo kikubwa zaidi (kama ilivyotokea kwa spika Tulia hivi karibuni).

Hatujakaa sawa, Anna Makinda akaondolewa uNEC. Huku na huku akavuliwa mpk ujumbe wa UWT. Anna Makinda akarudi kijijini kwao Njombe kupalilia miparachihi. Ndipo hapo kila mtu akaanza kujiuliza kuna nini? Anna Makinda alikaa miaka 10 yote ya Mkapa bila cheo cha aina yoyote. Kwa maneno mengine ni kwamba, Anna Makinda alikaa miaka 10 ya Mkapa akiwa kapa.

Baada ya miaka 10 ya Mkapa kukamilika Kikwete akapewa kijiti, yaani akapata urais. Kikwete akamrejesha Anna Makinda kwenye uga wa kisiasa na hatimaye kuwa spika wa kwanza mwanamke.

Ulikuwa unayajua haya?? Msogezeeni mic Anna Makinda ili awathibitishie.
Asante kwa historia
 
Hii story ni uongo kwa 💯

Makinda mbona alikula mema ya Nchi kipindi cha Big Ben, rudia tena kumbukumbu zako
 
Back
Top Bottom