CV yako iko wapi, au hujui maana ya CV?Kivipi? Kwa kutoa CV yangu? Ndiyo kujidhalilisha huko?
Una Uhuru wa kuto soma au kuchangia hoja zangu kama utaona zina kukwaza.
Haita kusaidia kitu. Achana nayo.CV yako iko wapi, au hujui maana ya CV?
UHURU wa nchi ngani?
Naipenda sana hii. Halafu watu wasiojua maana ya hii watapinga.
Nataman wanachama wote wa cdm waende kwa wingi wakaonyeshe kabisaa kuwa bado wapo na hawaterereki kwa lolote lile
Nafikiri ukosefu wenu wa akili na maarifa ya shughuli za kufanya na pia njaa inayo wakumba kwa uvivu wenu ndiyo, inawasumbua.Mkuu Tindo,
Umemjibu vema sana huyu kilaza wa Lumumba street! Mwambie Mombasa kuna ajira za madumejike yenye IQ kama zake…!
Hang out with him and his friends, but completely ignore the enemy
hebu uliza tena? ... angalia kinachotrend Leo kwenye social media na kesho utazame headlines za magazeti ... Mleta thread ni very powerfulVipi mmefunika au mmefunikwa?
Wewe una njaa na tamaa ya kutaka makubwa ambayo huna uwezo nayo.Nasema hivi, njoo na verified user Kisha uweke hiyo elimu na tuone ulicho achieve, Ni kipi so far umelifanyia taifa hili. Nipo kwenye mitandao muda wote maana simu yangu ninayo mkononi muda wote, naweza kupiga simu, kujibu sms nk. Kuwepo mitandaoni sio kama kwenda
kanisani useme unazima simu. Niko huru maana nimejiajiri na kutoa ajira kwa wengine, mimi sio mtumwa wa kazi za wanaume wengine kama ww. Kwakuwa ww umeajiriwa na wanaume wenzio unapaswa kuripoti kwenye hiyo ajira kuanzia asubuhi mpaka jioni, kinyume na hapo ukifukuzwa kazi ukija mtaani lazima uolewe.
Wewe sio standard unit ya kujaji lipi ni kosa na lipi si kosa. Siasa ni kitu dynamic sana. Hoja yako eti kwanini walimpokea Lowasa ni dhaifu sana.Kosa kubwa la kwanza kwa CDM ilikuwa kumpokea Lowassa. Mwisho wake tumeuona.
Kosa la pili ni hili la kuhudhuria sherehe za Uhuru zikiongozwa na mtu aliyeapa kuwaangamiza kwa njia zozote zile.
Sikutegenea hili baada ya umafia waliofanyiwa kwenye uchaguzi uliogeuka uchaguzi. Na kesho wataamkia mahakamani kwenye kesi za kubambikwa.
Uongozi CDM ujitafakari.
Sina haja nayo.Haita kusaidia kitu. Achana nayo.
Mimi sio jaji lakini wewe unajaji hoja yangu. Wewe ni standard unit ya ku classify opinion za watu kuwa strong au dhaifu? Tuseme hivi, hayo ni mawazo yangu na kila mtu yupo entitled to his/her opinion.Wewe sio standard unit ya kujaji lipi ni kosa na lipi si kosa. Siasa ni kitu dynamic sana. Hoja yako eti kwanini walimpokea Lowasa ni dhaifu sana.
Wewe una njaa na tamaa ya kutaka makubwa ambayo huna uwezo nayo.
Kama umejiari nakupa BIG UP! Ni vizuri basi ukazitumia hizo senti zako kujielimisha zaidi ili upanuke kidogo kimawazo na kimaarifa.
Kuwa mtandaoni mda wote sikumaanisha kuwa online, nimemaanisha kuparticipate kwenye Social Community Media kama JF, Twiter na kadhalika. Namaanisha uko active.
Kama hujarizika na hiyo description yangu ndogo kuhusu profession yangu, basi sina uwezo mwingine wa kukurizisha. Ichukulie kama ilivyo. Kama uta amini sawa na kama huta amini ni sawa pia. Ni uamuzi wako.
Kwa hali hiyo ningekuomba tuache kurumbana maana najisikia uchungu sana. Nakuonea huruma sana. Naona sikutendei haki kwa uwezo wako mdogo. Ningependa nikusaidie lakini sijui nianzie wapi?
Nimeenda Kanisani jana kukuombea kwa mungu wangu ili mungu wako akupe nguvu na ujasiri wa kufanya kitu kitakacho kuwezesha kukuondolea frustrations zako za maisha.
Hoja zangu ambazo wewe unaziona ni pointless na zina texts ndefu ambazo zina ku bor, utakuwa unanifanyia uungwana kama ukaziacha bila ku comment chochote.
Tatizo lako liko kwenye uwasilishaji wa hoja yako. Uliiwasilisha kama established fact badala ya mtazamo wako. Ndio maana nikasema wewe sio SI unit.Mimi sio jaji lakini wewe unajaji hoja yangu. Wewe ni standard unit ya ku classify opinion za watu kuwa strong au dhaifu? Tuseme hivi, hayo ni mawazo yangu na kila mtu yupo entitled to his/her opinion.
Kiongozi, vitu vingi humu ni opinion za watu labda iwe imesemwa vinginevyo.Tatizo lako liko kwenye uwasilishaji wa hoja yako. Uliiwasilisha kama established fact badala ya mtazamo wako. Ndio maana nikasema wewe sio SI unit.
Kwani we ushaalikwa ikulu??? Jamaa mlafi,mchoyo yaani cjui ukoje kwn ikulu ya baba ako ??!Ndio maana hawaalikwi Ikulu, hawaaminiki wale