Jokate aelewe Magufuli hakuogopa maandamano maana hapakuwepo wa kumfanya lolote huko Upinzani, ila CCM ndio hawataki maandamano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Utasemaje Shujaa Magufuli aliogopa Maandamano wakati Viongozi mahiri wote wa Upinzani walikuwa wanamkimbilia na kuunga Juhudi

Unadhani Shujaa Magufuli angemuogopa nani huko Upinzani kama akina Mbowe walipanda Ndege hadi Mwanza kuomba kujadiliana naye mambo ya Maendeleo

Maalim Seif alipanda Ndege hadi Chato kumsalimia Shujaa Magufuli

Kwa kifupi CCM ndio wanaogopa Maandamano maana hata sasa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia ameruhusu lakini Wakuu wa mikoa wamekuwa Wanafanya kila njia kuyadhoofisha yasifanikiwe

Jokate apambane na Bawacha, akina Dr Halima Mdee, amuache Shujaa Magufuli apumzike kwa amani

Mlale Unono 😀😀

Soma:
- Jokate: Tofauti na Magufuli, Rais Samia anajiamini ndiyo maana ameruhusu Wapinzani waandamane
 
Hivi wewe upo kwenye undugu na Lucas Mbwa wa Shamba aka Msambwanda??
 
Back
Top Bottom