Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

DAH! Suala la Mahakama ya Kadhi ni usaniii tu wa kisiasa. Hawa jamaaa waliamua kuwaongopea waislamu kwa makusudi ili wapate umaaarufu na kura nyingi. Kweli walifanikiwa kupata asilimia hizooo ningi walizopata, lakini hili ni wazi kwua waliwapiga changa la macho

Hii ni kwa kuwa walijua tangu awali kuwa ni suala gumu kuliingiza kwenye jamii ya watanzania, lakini pia walijua kuwa halitekelezeki, walifanya kwa ushabiki wakijua matokeo.

Dah, hawa jamaa kwa fiksi ni kiboko, sijuia wafananishwe na nini. lakini hili litawaumbua.
 
Nina uhakika India ilikataliwa kwa sababu za Kashmir na Gujrat as well wasi wasi wa Pakistan. Russia ana Seat kwenye OIC kama observer?
 
Tuweke kiswahili sawa kwanza hapa kabla hatujaendelea-

Kuhuliza- Kuuliza
Umaharufu- Umaarufu
Hajabu- Ajabu
MUHISLAM- Muislamu
Warafi- Walafi
Mhumini- Muumini

Pse correct your kamusi accordingly Wakuzuka.

Tunataka kuongeza mimahakama tuu badala ya kujadili maendeleo
Maendeleo yanajadiliwa kila kukicha kinachokosekana kwa sasa ni namna ya kuyabadili majadiliano hayo kuwa vitendo. Na nikukumbushe tu kuwa wakati mwingine ongezeko la mahakama linaweza kuwa part ya maendeleo.

Utajiju-Imepitwa na wakati kidogo hii na it sounds too "mipasho" au una undugu na Bi Kopa weye? Jenga hoja kaka na sema kile unachoamini bila kujali nani ata react vipi, hapa ndo mahali pake.
 
Naona hoja zinakuja na tunaelimika kwa mengi.
Game Theory, ningeomba ufafanue usemi wako kwamba Dr Ally Mohamed Shein ni msomi kuliko wote Tanzania, sijakuelewa bado.
 
Nina uhakika India ilikataliwa kwa sababu za Kashmir na Gujrat as well wasi wasi wa Pakistan. Russia ana Seat kwenye OIC kama observer?

Hebu mwache kwanza huyo CHAUMBEYA alete nondo zake na pia ajibu hoja zangu

lets stay tuned....
 
Labda nikuulize swali moja dogo tu. Wewe utaridhika ikiwa mmeandaa mpango wa jinsi ya kuendesha maisha yenu wewe na mkeo, mpango ambao hauingilii uhuru wa mtu mwingine wala haukiuki katiba halafu anatokea mtu anakwambia hapana huu mpango si mzuri inabidi tufuate mpango tofauti??
Maana kinachofanyika katika mahakama ya kadhi ni waislamu kuamua mambo yao ya kijamii kwa mujibu wa imani yao bila kuingilia uhuru wa watu wengine.

Wakuu hapa JF Naomba kueleweshwa...hivi hii mahakama ya kadhi itakuwa inapata wapi pesa za kuiendeshea?
 
gamba la Nyoka,
Shukran sana mkuu maanake sikuwa peke yangu niliyeisoma hiyo hutuba kisha kutazama upande wa pili wa shilingi. Wataalam husema ktk kila story kuna sura mbili, hapa tumeweza kuiona ya Mtikila.
kama nakumbuka vizuri sii muda mrefu walikuja wachungaji toka Marekani kutangaza ndoa za mashoga nchini kupitia dhehebu fulani la kikristu. Sikusikia kiongozi hata mmoja wa serikali, chama wala kiislaam wakipinga moja kwa moja hoja hiyo kwa sababu ilikuwa hoja ya kidini na ndani ya dhehebu moja. Na ukweli ni kwamba kama Wachungaji wa Tanzania wangeafiki na kuruhusu mashoga kufunga ndoa ktk dini yao, serikali yetu ingekuwa haina budi kutii haki hiyo ambayo imekubaliwa na waumini wa dini hiyo bila kujali kuwa wapo waislaam ama na wakristu wa madhehebu mengine wasiokubaliana.
Tazama basi issue ile imekwenda kimya kimya hadi imeshindikana bila kusikia watu hawa viongozi wakipinga tena basi hao wachungaji walipewa nafasi hata kutembelea Zanzibar ambako asilimia kubwa ya wananchi wake ni waislaam.
Leo imekuwa swala la kadhi ambalo limependekezwa na baadhi ya watu na kisheria halitaweza kumgusa kabisa Mtikila wala mkristu, yeye kachukua nafasi hiyo kushambulia dini nzima na mafundisho yake, yet mtu huyu huyu leo hii bado anaheshimika na kuhesabika kama kiongozi anayegombea URAIS...
 
Sasa kama MAdhumuni ya Umoja huu ni kuimarisha Solidarity among member states, kwani Tanzania ni Islamic state?
Mi naona majibu ya hoja hii yalikuwa wazi kwa utafiti uliofanywa.
Kama wawakilishi wa mikutano ni Marais, inamaana wakitoka kwenye mikutano wakawape wapi salamu hao waliowawakilisha (Waislam) ina maana Messages zitakuwa zinafikishwa wapi kwa walengwa?
Je kama ni misaada ya elimu ina maana watasaidia waislamu tuu?

Nanukuu
"TANZANIA
Tanzania ni Muungano wa dola mbili yenye katiba moja, ambayo inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ila wananchi wake wanazo dini zao. Ina maana kidunia Tanzania Secular F state-isiyovutiwa na dini ya mtu. Pia katika Katiba Tanzania imeruhusu wananchi wake kuweza kufanya ibada zao wanazoamini bila ya bugudha. Bali Tanzania ni Jamhuri ya Muungano iliyounganisha dola mbili, bila ya kujali ukubwa wala uchumi: lakini katiba imeweka wazi vyombo vya G Muungano, yaani moja katika uzito wa jamhuri ni siasa ya mambo ya nje ambacho ni chombo kimoja katika vyombo vinavyosimamiwa na Katiba ya Muungano.
 
Game Theory,

Nadhani issue ni simple sana na majibu yake yako straight forward, jamani kwanini tunaogopa kuangalia katiba yetu inasema nini kuhusu serikali na dini ? Sidhani kama katiba yetu ya sasa inaruhusu serikali yetu kujiunga na OIC ! unless tufanye consitutional amendment .
Pili ni lazima watu watambue ya kuwa "SIO nchi" Zanzibar kwa hiyo aiwezi ikajiamulia tuu mambo yatayopingana na katiba ya Jamhuri . Tatizo letu sisi watanzania tumezoea blah blah , majibu yapo kwenye katiba lakini tunataka tuu kuendelea kuongea . Hii mada ni totally wastage of time !
 
Jamani hii mahakama ya kadhi ilikuwepo miaka ya nyuma hapa nchi na ikavunjwa(pamoja na nyinginezo) tukaingia kwenye mfumo wa mahaka tulio nao sasa. Je, sababu zilizopelekea kuvunjwa wakati huo hazipo tena? Mfumo huu uliopo hautendi haki kwa Waislamu? Kwa nini Waislamu wangoje Mrema aiibue ndo nao waitake?
Mahakama ya kadhi haiwezi kuridhiwa kisheria hapa nchini mpaka labda tubadili katiba, maana katiba iliyopo hairuhusu.Hata hivyo, ndugu waislamu mfumo uliopo sasa ni bora zaidi kwa utoaji haki kuliko hiyo "sharia" mnayoiomba..mtapigana mawe..ooh
 
Jamani, hata km mahakama ya Kadhi itapata fungu kutoka serikalini, kuna tatizo gani? Kwani nyie mpingao hamjui kuwa Tz ina sheria tatu tu zitambuliwazo? Yaani, sheria ya serikali, sheria ya Kiislam, na sheria ya kimila. Labda wengi wapingao hapa ni Wakristo, na wanahisi kuwa watatengwa kwa hii mahakama kurudishwa. Lkn, ukweli ni kuwa: "Tofauti kuu iliyopo kati ya Uislam na Ukristo ni sheria; Uislam unafuata sheria zilizowekwa na Muumba, lkn Ukristo hauna sheria". Ndio maana hata hapa nchini hakuna sheria ya Kikristo, na ndio maana Wakristo wanashindwa hata kuyatatua yaliyo yao kutokana na kuyabadili maandiko, mfano, kwanini Wakristo hawana utatuzi khs uvaaji wa vimini kanisani, wachungaji mashoga, uhalali wa mavazi maalum ya viongozi wao, n.k. Haya yote yanatokana na ukosefu wa sheria.
"Ole wao wenye kuandika maandiko kwa mikono yao, kisha wanasema: 'Haya yanatoka kwa Mwenyezi Mungu', ili tu kupata thamani ndogo (ya kidunia). Ole wao kwa yaliyoandikwa kwa mikono yao, na ole wao kwa wanayoyachuma" (Qur'an 2:79)
 
Kwanza Kabisa Wana Jambo Wenzangu Nianze Kuwapongeza Kwa Maoni Yenu Mazuri Juu Ya Mahakama Hii.japo Wachache Hamfahamu Kilichojificha Ndani Yake.
Kwanza Ngoja Niwadodosee Kidogo Kuhusu Hili Yawezekana Wapo Wanaofahamu Zaidi Yangu,pia Ifahamike Kuwa Sitetei Ukiristo Au Uislamu Bali Nihoja Yangu Ieleweke.
Ok! Nihivi Mbinu Hii Yakuanzisha Mahakama Za Kadhi Nimbinu Tanzu Iliyokuwepo Tangu Enzi Na Enzi Ambayo Lengo Lake Kuu Lilikuwa Nikuhakikisha Ukiristo Au Makafiri Wanafutiliwa Mbali Ktk Ulimwengu Huu Kwa Njia Ya Vita Vya Jihad Duniani Kote(yaani Kwa Nguvu Ya Jambia)
Hivyo Basi Kutokana Nahii Jihad Kuonekana Kuzidiwa Nguvu Nambinu Za Kibeberu Ambazo Mbinu Au Kiu Yao Kuu Nikutaka Kuona Waarabu Hawana Nguvu Nakiburi Cha Mafuta Mengi Waliyonayo Naikiwezekana Ndani Yamiaka 40 Ijayo Mataifa Yakibeberu Kama Marekani Ifikapo Miaka Hiyo Isiwe Natatizo Lamafuta
Nakama Mtakumbuka Wakati Bush Akiapa Kuwa Rais Miongoni Mwa Hotuba Zake Alijigamba Nakusema Ndani Yamiaka 40 Marekani Itakuwa Haina Tena Tatizo Au Wazo Lakutafuta Mafuta(hivo Mbinu Ilikuwa Nikuhakikisha Wanachukua Mafuta Kwa Njia Yoyote Kwenye Nchi Za Kiarabu Iwe Kwa Vita Au Amani)
Lakini Yote Hiyo Nikutokana Najuhudi Za Jihad Zakutaka Kuanzisha Vuguvugu Lakuufuta Ukiristo Hivo Nchi Zakibeberu Zikaamua Kuanzisha Vuguvugu Hilo Likiwemo Pia Suala Lakuhakikisha Ukomnisti Unafutiliwa Mbali Ktk Uso Wadunia
Marekani Ikaanza Na Urusi Kwa Kumpandikiza Rais Ndani Ya Urusi Nakwakiasi Kikubwa Alifanikiwa
Kitu Cha Pili Ikaandaa Papa(namaanisha Papa J.paul)pia Alipandikizwa Kutoka Marekani Ili Kutekeleza Lengo Hilohilo Japo Yeye Hakuwahi Kuwa Mseminari Akitokea Poland.
Ktk Mkakati Huo Huo Mabeberu Wakakubariana Kuwa Watafute Watu Watanowatano Kutoka Ktk Kila Nchi Balani Afrika Ambao Si Wakatoriki Waende Wakafundishwe Dini Nchini Marekani Ili Pindi Hawa Jamaa Watakapokuwa Wanakuja Kututawala Kwa Njia Ya Utandawizi(utandawazi)iwe Rahisi Kwao Kujichotea Madini Namalighafi Zingine
Hivo Basi Hapa Kwetu Walipatikana Hao Watu Watano Akiwemo Mtikila Wakaenda Marekani Na Wakati Wanarudi Walipewa Vile Vitabu Vilivyokuwa Vimeandaliwa Nawaislamu Kuhakikisha Ukiristo Unatoweshwa Ambavyo Vilikuwa Vinaitwa (black Sword)namiongoni Mwavitabu Hivo Pengo Alipenyezewa Nabwana Mmoja Ili Hapo Baadae Kije Kumsaidia Endapo Vuguvugu Kama Hili Lililoibuka.
Nakama Mtakumbuka Wakati Wa Mh.ruksa Ilibaki Kidogo Tu Tujiunge Na Oic. Je Mnafahamu Miongoni Mwa Waliokuwa Tayari Kuhakikisha Hilo Linapiata Malecela Alikuwemo Na Alihongwa Mamilioni Ya Pesa Na Kukubali Kusilimu Nakuitwa Hassan(kama Sikosei)
Hivo Basi Waislamu Nambinu Yao Hiyo. Uroho Wao Mkubwa Nikutaka Kuona Hilo Swala Lao Linapita Kwa Mbinu Yoyote Ndio Maana Jk Wakati Wakampeni Inasemekana Alishawahi Kuwaahidi Wenzake Kusaidia Hilo Swala Kupitishwa,
Nakama Ikiwewzekana Nchi Itatumbukia Kwenye Udini Vibaya Mno Kwani Mahakama Ya Kadhi Ikiingizwa Kwenye Katiba Basi Nchi Itakuwa Nadini-wengine Wanaweza Wakashindwa Kunielewa Vizuri Ninamaana Kuwa Nchi Haina Dini Ila Katiba Inamruhusu Mtu Kuabudu Kile Anachoamini Yeye Bila Kuvunja Sheria Zanchi.hivo Basi Tukikubali Mahakama Kuingizwa Kwenye Katiba Ina Maana Kwamba Nchi Hii Niyakiislamu Na Dini Yenye Nguvu Kuamua Hata Kusimamia Baadhi Ya Sheria Kidini Niyakiislamu Kwani Inatambulika Kisheria Nandio Maana Ikaruhususiwa Kuanzisha Mahakama.
Kutokana Nautata Huo Ili Hali Mtikila Akijua Kila Kitu Nakinachoendele Ndio Maana Alikuwa Wakwanza Kukimbilia Mahakamani Kwenda Kuzuia Hili Swala Lakuanzishwa Mahakama Ya Kadhi Naalikuwa Amejipanga Vizuri Kwenda Kutoa Ushahidi Wote Kikiwemo Kile Kitabu Cha Black Sword.
Baada Yakuona Hivo Jk Akatoa Tamko La Mtu Yoyote Kutoendelea Namjadala Huo Mahala Popote.
Wana Jf Kujuzane Kama Kuna Mengine Mengi Yawezekana Ninapotoka.uchangiaji Mwema.
Ng`wananogu
 
Ukiongelea ukali wa sheria za kiislam,za wezi kukatwa mikono pia ongelea suala la wezi kukamatwa na kuachiwa.Na baadae watu huwachoma moto.
Kuhusu muislam kugombana na mtu wa dini nyingine!Unadhani mahakama ya kadhi iko pale kwa ajili ya kumtetea muhalifu kisa ni muislam.Huwo utakuwa wazimu.
Kuhusu mgoni kupigwa mawe!Najua wenzetu dini yenu inapromoti uzinzi.Si unaweza kuwa na mke mmoja na vimada mia moja!Au unaweza kumuachia mkeo acheze na mtu mwingine huku akitongozwa!Mnaiita hiyo swap!Au sio!Kwa hiyo unamfundisha mkeo ukahaba?
Anyway,kila kitu kina matatizo yake na faida zake.Ujaribu kutafuta matatizo ya kitu peke yake,tafuta na faida zake.Tafuta,sio unasikia sikia tu.
 
Ukiongelea ukali wa sheria za kiislam,za wezi kukatwa mikono pia ongelea suala la wezi kukamatwa na kuachiwa.Na baadae watu huwachoma moto.
Kuhusu muislam kugombana na mtu wa dini nyingine!Unadhani mahakama ya kadhi iko pale kwa ajili ya kumtetea muhalifu kisa ni muislam.Huwo utakuwa wazimu.
Kuhusu mgoni kupigwa mawe!Najua wenzetu dini yenu inapromoti uzinzi.Si unaweza kuwa na mke mmoja na vimada mia moja!Au unaweza kumuachia mkeo acheze na mtu mwingine huku akitongozwa!Mnaiita hiyo swap!Au sio!Kwa hiyo unamfundisha mkeo ukahaba?
Anyway,kila kitu kina matatizo yake na faida zake.Ujaribu kutafuta matatizo ya kitu peke yake,tafuta na faida zake.Tafuta,sio unasikia sikia tu.

!?

cant you make a positive contribution without insulting others?
Or is your deep hatred to christianity sooo deep that you cannot help but spill it whenever the opportunity arises?
 
wanaoitaka, miongoni mwa hoja wanazokuja nazo ni kwamba zilitambuliwa hata na wakoloni wa kiingereza. Ningependa tujiulize kuwa,Je? kuna jambo ambalo wakoloni walilianzisha au kuruhusu kwa nia njema ya kumsaiadia Mwafrika?au ni kwa maslhi yao?
 
!?

cant you make a positive contribution without insulting others?
Or is your deep hatred to christianity sooo deep that you cannot help but spill it whenever the opportunity arises?

Didn't you see the insults of ng`wananogu?
 
Back
Top Bottom