Waarabu Waanzishe Mahakama yao Ya Kimataifa!

Waarabu Waanzishe Mahakama yao Ya Kimataifa!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,343
Reaction score
26,901
Kuendelea kwa nchi za kiislamu, waislamu na waliokuwa waislamu kulalamikia ICC ni mahakama ya mabeberu, sasa ni wakati wa Waarabu na Waislamu kuanzisha mahakama yao ya Kimataifa.

hii ni kwasababu Nchi 125 Wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York kupiga kura ya siri ya kuamua hatma ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Karim Khan ambaye anakabiliwa na tuhuma za utovu wa maadili ya kingono zinazotolewa na aliyekuwa msaidizi wake.

Khan ambaye amekana tuhuma hizo, alisimamishwa kazi mwezi Juni mwaka huu baada ya Kamati ya Usimamizi ya ICC kubaini kuwa alikiuka kwa kiwango kikubwa maadili ya kazi na alijaribu kumzuia mlalamikaji kuendelea na malalamiko yake.

Pia, amesimamishwa kwa muda kufanya kazi ya uwakili Nchini Uingereza wakati taratibu nyingine za kisheria zikiendelea.

Comments nyingi za waislamu wenye siasa kali hasa huko nje wanaona kama wanaonewa, sasa ifike pahala waanzishe kombe lao la Dunia, Mahakama yao na hata makazi yao wajitenge na wasio-wasafi iliwasipate unajisi.
 
Back
Top Bottom