Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Zanzibar wajiunge tu na hiyo OIC na waanzishe sharia law itakuwa poa sana maana zenji kuna waislamu 99%.

ms_park_4315.gif
 
ARTICLE VIII


Membership:
The Organization of the Islamic Conference is made up of the States which took part in the Conference of Kings and Heads of State and Government held in Rabat and the two Foreign Ministers' Conferences held in Jeddah and Karachi, and signatory to the present Charter. Every Muslim State is eligible to join the Islamic Conference on submitting an application expressing its desire and preparedness to adopt this Charter. The application shall be deposited with the General Secretariat, to be brought before the Foreign Ministers' Conference at its first meeting after the submission of the application. Membership shall take effect as of the time of approval of the Conference by a two-third majority of the Conference members.



Kama hii ndio charter ya OIC, Tanzania tutajiunga kama Muslim State au? Kuhusu Uganda kujiunga huko nadhani nyote mnajua kuwa wakati wanajiunga Raisi alikuwa Nduli Idi Amin na alifanya hivyo baada ya kuona nchi za magharibi zimemtupa. Tuendelee kujadili.
 
ARTICLE VIII


Membership:
The Organization of the Islamic Conference is made up of the States which took part in the Conference of Kings and Heads of State and Government held in Rabat and the two Foreign Ministers' Conferences held in Jeddah and Karachi, and signatory to the present Charter. Every Muslim State is eligible to join the Islamic Conference on submitting an application expressing its desire and preparedness to adopt this Charter. The application shall be deposited with the General Secretariat, to be brought before the Foreign Ministers' Conference at its first meeting after the submission of the application. Membership shall take effect as of the time of approval of the Conference by a two-third majority of the Conference members.



Kama hii ndio charter ya OIC, Tanzania tutajiunga kama Muslim State au? Kuhusu Uganda kujiunga huko nadhani nyote mnajua kuwa wakati wanajiunga Raisi alikuwa Nduli Idi Amin na alifanya hivyo baada ya kuona nchi za magharibi zimemtupa. Tuendelee kujadili.

si lazima Tanzania ijiunge lakini ZANZIBAR inaweza kujiunga

Sioni tatizo

vile vile naomba kama una nafasi ujibu hoja zangu nilizozitoa hapo juu
 

si lazima Tanzania ijiunge lakini ZANZIBAR inaweza kujiunga

Sioni tatizo

vile vile naomba kama una nafasi ujibu hoja zangu nilizozitoa hapo juu

Hivi Zanzibar ni "Muslim state"? Yaani ni dola ya kiislamu? Nadhani kuna tofauti kati ya nchi "yenye waislamu wengi" na nchi "ya kiislamu". Nchi yenye waislamu wengi inaweza kuamua na kuwa na katiba inayosema kuwa nchi yao ni ya kiislamu. Hebu wanasheria tusaidieni katika mjadala huu: Zanzibar ni dola? Na je ni dola ya kiislamu? Kwa vigezo vipi?
 
No mtikila hana tofauti na wale mashehe wenyesiasa kali.Hupenda kutumia kipaji chake cha kuongea kuchanganya watu.HAPA SUALA NI KWA MUILAMA SUALA LA MORATHI NA NDOA NI NI SEHEMU YA IBADA KWA KUJIBU WA MADAI YA MASHEIKH.vs KATIBA YA NCHI KUHUSU UHURU WA KUABUDU.vs SERIKALI KUGHARIIMIKIA MAHAKAMA.ILI HUYO MUISLAM AWEZE KUABUDU AU LAA.HAKUNA UBAYA KWA MUISLAMU KUWA NA MAHAKAMA ZA AINA HIYO KAMA HAZITAGHARIMIKIWA NA SERIKALI NA IKIWAHAZITAINGILIANA NA SHERIA ZA NCHI HII KUHUSUU MASUALA HAYO.hOJA ZINGINE ZOTE ZITAJIONYESHA NI KUUPINGA UISLAMU NAOMBA WATANZANIA TUVUMILIANE KILA KUNDI LIRIDHIKE ILI MRADI HALIINGILII UHURU WA KUNDI JINGINE
 
Kwa nini Wazanzibar wanazuiwa kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC?
Bado najiuliza madhara ya kujiunga na Jumuiya hii ni yapi hasa?
kwani limekua ni suala la Muda mrefu na hoja inatolewa kwamba ili Zanzibar waweze kujiunga huko basi wajitoe kwenye Muungano, Je Zanzibar haiwezi kusimama yenyewe kama yenyewe kwa masuala yasiyohusu Muungano kama hili la OIC?

Mwanakijiji nabisha hodi
 
You have to know that Zanzibar is not a state, to be a state Zanzibar should qualify the following.
1.Independent judiciary system
2.Representative abroad as a country
3.member of UN
etc
So if you look upon this issues all of them they are in union government.
So unilateral Zanzibar can not join any international community without consent of union government.
So it is a union matter not Zanzibar matter
 
ILI KUKUSAIDIA KUELEWA HISTORIA YA ZANZIBAR NA OIC NAOMBA NIKUPE BARUA HIZI ZA SERIKALI UWEZE KUONA MCHAKATO WA KUUJIUNGA NA OIC MARA YA KWANZA ULIVYOKUWA!! BARUA HIZI NI ZA MJADALA WA MAOFISA WA SERIKALI BAADA YA KUSIKIA KUWA RAIS WA ZANZIBAR ANATAKA KUJIUNGA NA OIC!! NAOMBA MZISOME KUSHA TUJADILI MAANA NAKUMBUKA WAKATI HUO NIKIWA BADO MWANASHERIA MCHANGA NI MOJA KATI YA MAJUKUMU YANGU YA KWANZA!!!

BARUA YA KWANZA INATOKA KWA DAMIAN LUBUVA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI INAKWENDA KWA HASSAN DIRIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE


Ndugu Ahmed Hassan Diria (Mb)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
DAR ES SALAAM

KUH: MAOMBI YA ZANZIBAR KUJIUNGA NA UMOJA WA ORGANISATION OF ISLAMIC CONFERENCE
1. Zanzibar imewasilisha kwenye Chama (CCM) maombi yake ya kutaka kujiunga na Umoja uitwao-the Organisation of Islamic Conference. Nimetakiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu nitoe ushauri juu ya ombi hilo.

2. Kwa vile suala la Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa ni suala la Muungano ambalo unasimamia, nitashukuru kama utanipatia maoni ya Wizara yake juu ya ombi hilo. Natakiwa nitoe ushaur huo haraka ili hatimaye uamuzi ufanywe.

(Signed)
D Z Lubuva E
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI'
 
ILI KUKUSAIDIA KUELEWA HISTORIA YA ZANZIBAR NA OIC NAOMBA NIKUPE BARUA HIZI ZA SERIKALI UWEZE KUONA MCHAKATO WA KUUJIUNGA NA OIC MARA YA KWANZA ULIVYOKUWA!! BARUA HIZI NI ZA MJADALA WA MAOFISA WA SERIKALI BAADA YA KUSIKIA KUWA RAIS WA ZANZIBAR ANATAKA KUJIUNGA NA OIC!! NAOMBA MZISOME KUSHA TUJADILI MAANA NAKUMBUKA WAKATI HUO NIKIWA BADO MWANASHERIA MCHANGA NI MOJA KATI YA MAJUKUMU YANGU YA KWANZA!!!

BARUA YA KWANZA INATOKA KWA DAMIAN LUBUVA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI INAKWENDA KWA HASSAN DIRIA WAZIRI WA MAMBO YA NJE


Ndugu Ahmed Hassan Diria (Mb)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
DAR ES SALAAM

KUH: MAOMBI YA ZANZIBAR KUJIUNGA NA UMOJA WA ORGANISATION OF ISLAMIC CONFERENCE
1. Zanzibar imewasilisha kwenye Chama (CCM) maombi yake ya kutaka kujiunga na Umoja uitwao-the Organisation of Islamic Conference. Nimetakiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu nitoe ushauri juu ya ombi hilo.

2. Kwa vile suala la Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa ni suala la Muungano ambalo unasimamia, nitashukuru kama utanipatia maoni ya Wizara yake juu ya ombi hilo. Natakiwa nitoe ushaur huo haraka ili hatimaye uamuzi ufanywe.

(Signed)
D Z Lubuva E
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI'

NA HAYA NDIO MAJIBU YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KWA MWANASHERIA NKUU WA SERIKALI

Nd D Z Lubuva, Mb,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
DAR ES SALAAM

KUH: MAOMBI YA ZANZIBAR KUJIUNGA NA UMOJA WA ORGANIZATION OF THE ISLAMIC CONFERENCE

Kutokana na waraka wako wenye somo lililotajwa hapo juu uliopelekwa CCM, uchambuzi wa muundo wa chombo hicho unaonekana wazi kuwa ulipoanza ulikuwa na misimamo yenye maana ya kujikinga kiuchumi na kisiasa.

Wanachama wa mwanzo waanzilishi walikuwa Pakistan na Kingdom of Saudi Arabia. Hizo ni nchi zenye katiba ambayo ni wazi kabisa imefungwa kwenye misingi ya dini ya Kiislam kutokana na Katiba zao.

Ni kweli kuna utatanishi juu ya chombo hiki, kama inavyoeleweka, na kutokana na jina lake-au lengo lake ni kusambaza Uislam au kuwasilimisha watu kwa hila-au kwa nguvu. Wanachama wake sio wote wenye kuamini dini ya Kiislam, au ndivyo Katiba inavyosema. Maelezo hayo hayana misingi ya ukweli.

Katika jumla ya wanachama wake asilimia 90 ya mataifa na wanachama wanaofuata mtindo wa circularism na siyo itikadi ya kidini.

Mataifa yote ya Kiarabu kama Egypt na Indonesia wana Katiba ya secular-state inayooanisha dini A zote ikiwa pamoja na nchi za Ghuba, Sudan na Afrika ya Kaskazini zote zinafuata mitindo ya dunia kwenye katiba zao. Hivi sasa wenye katiba ya kujifunga na udini kuwa ni policy ni Iran; Pakistan na Saudi Arabia. Zilizobaki kama Comoros na Mauritania wanajiita Jamhuri za Kiislam bila kufuata taratibu na sheria za Kiislam, wala kwenye katiba zao hazionyeshi hivyo na taratibu za utawala wao ni wa kidunia na kufuata sheria za madola.

Kwa kuendeleza somo hilo kwa ajili ya uchambuzi zaidi ili tuelewe mwenendo wa jumuia hiyo, kuna haja ya kueleza kuwa Equatorial Guinea, Lebanon, Cameroon na Uganda Madola hayo yote yana katiba inayofuata mtindo wa kimataifa. Hata hivyo kuangalia tu jina kunaleta tafsiri isiyo na uchambuzi kwa sababu nchi zingine asilimia kubwa si wanaofuata dini ya Kiislam wamekuwa wanachama, ama kwa ajili ya historia au kwa mengine.

Umoja unaonyesha kuwa unashughulikia zaidi wanachama wake kama ilivyo taratibu za Umoja wowote ule duniani.

UPIGAJI KURA
Wanaopiga kura ni wanachama, lakini umoja unatoa mwanya kwa `OBSERVER' na dola inapata faida zote za maendeleo bila ya kuwa mwanachama kamili. Kwa kifupi, ni mwanachama ndiye E anayefaidikazaidi; na kati ya Mwangalizi na asiye mwanachama, misaada hutolewa zaidi kwa mwanachama.

TANZANIA
Tanzania ni Muungano wa dola mbili yenye katiba moja, ambayo inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ila wananchi wake wanazo dini zao. Ina maana kidunia Tanzania Secular F state-isiyovutiwa na dini ya mtu. Pia katika Katiba Tanzania imeruhusu wananchi wake kuweza kufanya ibada zao wanazoamini bila ya bugudha. Bali Tanzania ni Jamhuri ya Muungano iliyounganisha dola mbili, bila ya kujali ukubwa wala uchumi: lakini katiba imeweka wazi vyombo vya G Muungano, yaani moja katika uzito wa jamhuri ni siasa ya mambo ya nje ambacho ni chombo kimoja katika vyombo vinavyosimamiwa na Katiba ya Muungano.

Unapojiunga kuwa mwanachama atakayewakilishwa kwenye vikao vya unongozi wa juu atakuwa Rais wa Jamhuri. Bendera itakayopepea itakuwa ni ile ya Tanzania. Siasa itakayoendeshwa itakuwa H iliyounganishwa kikatiba, yaani siasa ya kimataifa. Kutokana na maelekezo hayo, ushaur wetu ni kama ufuatao.
(a) Kama ni lazima kuwa katika Umoja wa Organisation of the Islamic Conference, tufuatilie msimamo wa Nigeria na Mozambique ambao walikuwa observer; na pia kwa sababu Tanzania imefaidika kupatiwa misaada kutokana IOC kwa ajili ya mradi wa Kibiti-Lindi bila ya kuwa mwanachama.
(b) Indonesia si mwanachama kutokana na katiba yake, lakini walianza kujiunga kama permanent participant na hadi leo Dunia inaamini wanachama, lakini katiba ilibidi waitafutie mbinu ya kisheria na wakatokana na msimamo huo. Pengine Tanzania tungeendeleza uchunguzi juu ya mtindo huo.
(c) Tanzania inawesa ikawa associate member na itakuwa non voting (sic) member bila ya B kupinga katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Kwa kumaliza na kwa kukubali kuwa Katiba ni yetu inayotuongoza-uamuzi wetu ni lazima kuangalia maslahi ya Taifa na kuepusha fikra potofu miongoni mwa wananchi wa dola yetu. Hivyo kwa Zanzibar C kujiunga peekee ni suala la katiba. Ufumbuzi ni kama nilivyoelezea hapo juu.

(Signed) A Hassan Diria
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA
KIMATAIFA
 
NA HAYA NDIO MAJIBU YA MWISHO TULIYOPELEKA KWA WAZIRI MKUU KUTOKA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI.

Nd J S Malecela, (Mb)
Waziri Mkuu na Makumu wa Kwanza wa Rais,
DODOMA.

KUH: MAOMBI YA ZANZIBAR KUJIUNGA NA `THE ORGANISATION OF ISLAMIC CONFERENCE'
1. Kwa Dokezo lako la tarehe 21 Septemba, 1991 ulinitaka nifanye uchambuzi wa kisheria na nikupe maoni yangu.
2. Nimefanya uchambuzi wa Katiba ya `Organisation' hiyo pamoja na Katiba ya Jamhuri ya Muungano F wa Tanzania. Kutokana na uchambuzi huo, maoni na ushauri wangu ni kama ifuatavyo:
(i) Chimbuko la Umoja huu ni Mkutano wa viongozi wa Nchi na Serikali uliofanyika Rabat, Morocco, 1969.
(ii) Ni `Inter-Governmental Organisation' ambayo wanachama wake ni nchi za Kiislam. G
(iii) Mikutano yake ni ya `Heads of State' na mingine ni ya `Foreign Affairs Ministers' wa nchi za Kiislamu.
(iv) Madhumuni yake Kimsingi ni ya Kidini na mengine ni ya Kisiasa. Article II Ibara ya 1 lengo ni `to promote Islamic Solidarity among member States' yanayofuata toka Ibara ya 2 hadi 7 Kidini H na mengine ni ya Kisiasa.
3. Kwa kuzingatia misingi ya malengo na shabaha ya Umoja huu kama Katiba yao inavyooanisha kwa upande wa Tanzania kuwa mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kufikia uamuzi juu ya Zanzibar kujiunga. Kwanza kwa jinsi Muungano ulivyo Kikatiba, Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri I yha Muungano-One State and a United Sovereign Republic. Katika hali hiyo:
(i) Ilivyokuwa uanachama wa Umoja huoni wa Dola, itakuwa ni kinyume cha Katiba kwa sehemu A moja ya Jamhuri kujiunga kama nchi na kuacha nyingine.
(ii) Pili, mambo ya uhusiano na nchi za Nje Kikatiba na Kimazoea ni mambo yanayoendeshwa Kimuungano (International Relations). B
(iii) Tatu, Siasa na sera ya nchi yetu Tanzania ni kwamba Serikali na Dola havina dini. Watu wake ndiyo waumini. Hivyo, wakati wote msimamo ni kutochanganya mambo ya Dola na Dini.
(iv) Kwa siasa yetu jinsi ilivyo, kujiunga na Umoja huo kama Dola inazusha maswali ya msingi. Mabadiliko ya msimamo kisiasa juu ya Dini na mfumo wa kuendesha shughuli kwa sehemu C moja ya Tanzania na kuacha nyingine.

4. USHAURI
Kwa kuzingatia mfumo wa siasa ya Tanzania na Katiba yake kama Nchi moja (One Sovereign State) tangu 1964 na tangu 1969 Umoja huo umekuwepo bila sisi kujiunga, nashauri: D
(a) Ni kinyume cha Katiba kwa Zanzibar kujiunga Katika Chombo ambacho wanachama wake ni dola za Kiislamu.
(b) Kama ni mwafaka na imeamuliwa na kukubalika ni Tanzania ndiyo inaweza kujiunga. Hii ni baada ya kubadili sera na Siasa yetu juu ya Dini na Dola. E
(c) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, naye kwa maelezo yake haoni ni sawa kufanya hivyo.
--Nakala ya maoni yake imeambatanishwa.
(d) Nakubali ikiwa ni lazima, kama alivyoshauri Waziri wa Mambo ya Nje kutafuta njia ya kushirikiana katika mikutano ya OIC kwa misingi waliyowezakufanya nchi ambazo si za F Kiislam ingawa Katiba ya Umoja huo inataka hivyo (Islamic State).
(e) La busara kama ndiyo linakubaliwa na IOC ni kwa vyombo vya Waislamu kama vile BAKWATA, BALUKTA NK kujiunga na siyo Dola. Hiyo ndiyo ingekuwa njia sahihi isiyokiuka Katiba au Siasa ya nchi. Kwa jinsi iliivyoletwa, na kwa mfumo wa Kikatiba tulio nao sasa na siasa yetu G kwa maoni yangu ni suala nyeti ambalo uamuzi wake ukifanywa kwa pupa unaweza kutuletea hali ya vuragu.

Nakurejeshea nakala ya Katiba ya OIC.

D Z Lubuva, Mb H
 
Hivi nchi hii ina waislam na wakristo pekee? haina watu wenye dini nyingine?? wingi si hoja hoja ni usawa.

katiba ilindwe iheshimiwe na ktk hilo naamini kuwa serikali inatambua kuwa dini ni petroli mbaya inayoweza kulipuka hata wa harufu ya moto hivyo wafanze kila njia kutotutenga wala kutugawanya kwa kigezo cha imani.

Natoa rai kwa viongozi wa serikali kupunguza mialiko mingi katika dhifa za kidini maana inaleta hisia ya kibaguzi na kujipendekeza.

Katiba iheshimiwe jamani.

maadam viongozi wanazo dini zao basi ikubaliwe kiutaratibu (sio rasmi) kuwa sikuu za kidini za kitaifa ndizo ziwe jukwaa zao kushiriki shughuli za kidini publically. La wakialikwa ktk mialiko ya kidini ktk siku za kawaida isiwe as public notice hata iweje.

mbona hawaendi ktk matambiko, au bahai au nk?? kama si ubaguzi ni nini????

Tuepuke kutoana macho tulete hoja mezani tuzishindanishe
 
nimeona kwamba Zanzibar na hata Tanzania zinaweza kujiunga na muungano huo iwapo zitabadilisha katiba yake na kuwa nchi za kiislamu.

Mkuu Kithuku,

Heshima mbele mkuu, ninajua kuwa wewe ni mmoja wa the brain katika hii JF, hivi hayo maneno ni kweli? Sasa Uganda na Mozambique walibadili katiba zao au?

Binafsi sioni tatizo kwa Zanzibar au Bara, kujiunga na hii kitu, lakini ukweli uwekwe wazi kwanza, kuanzia hiyo kitu yenyewe, wanachama wake maana lazima tujue tunajiunga na nani, faida na hasara zake, na pia tuwekewe mifano ya nchi zilizojiunga na zilivyonufaika, wote tunajua yaliyotupata kwenye EAC, tukaishia kuisaidia Kenya kiuchumi, huku sisi tukizama kwenye umasikini!

labda barua hii niyoipost kwenye thread nyingine hapa pia inafaa. ni mawasiliano ya serikalini kuhusu OIC. kwa maelezo yangu ya ziada na undani fuatilia thread zingine!!!

Nd D Z Lubuva, Mb,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
DAR ES SALAAM

KUH: MAOMBI YA ZANZIBAR KUJIUNGA NA UMOJA WA ORGANIZATION OF THE ISLAMIC CONFERENCE
Kutokana na waraka wako wenye somo lililotajwa hapo juu uliopelekwa CCM, uchambuzi wa G muundo wa chombo hicho unaonekana wazi kuwa ulipoanza ulikuwa na misimamo yenye maana ya kujikinga kiuchumi na kisiasa.

Wanachama wa mwanzo waanzilishi walikuwa Pakistan na Kingdom of Saudi Arabia. Hizo ni nchi zenye katiba ambayo ni wazi kabisa imefungwa kwenye misingi ya dini ya Kiislam kutokana na Katiba zao.

Ni kweli kuna utatanishi juu ya chombo hiki, kama inavyoeleweka, na kutokana na jina lake-au lengo lake ni kusambaza Uislam au kuwasilimisha watu kwa hila-au kwa nguvu. Wanachama wake sio wote wenye kuamini dini ya Kiislam, au ndivyo Katiba inavyosema. Maelezo hayo hayana misingi ya ukweli.

Katika jumla ya wanachama wake asilimia 90 ya mataifa na wanachama wanaofuata mtindo wa circularism na siyo itikadi ya kidini.

1996 TLR p233
SAMATTA JK

Mataifa yote ya Kiarabu kama Egypt na Indonesia wana Katiba ya secular-state inayooanisha dini zote ikiwa pamoja na nchi za Ghuba, Sudan na Afrika ya Kaskazini zote zinafuata mitindo ya dunia kwenye katiba zao. Hivi sasa wenye katiba ya kujifunga na udini kuwa ni policy ni Iran; Pakistan na Saudi Arabia. Zilizobaki kama Comoros na Mauritania wanajiita Jamhuri za Kiislam bila kufuata taratibu na sheria za Kiislam, wala kwenye katiba zao hazionyeshi hivyo na taratibu za utawala wao ni wa kidunia na kufuata sheria za madola.

Kwa kuendeleza somo hilo kwa ajili ya uchambuzi zaidi ili tuelewe mwenendo wa jumuia hiyo, kuna haja ya kueleza kuwa Equatorial Guinea, Lebanon, Cameroon na Uganda Madola hayo yote yana katiba inayofuata mtindo wa kimataifa. Hata hivyo kuangalia tu jina kunaleta tafsiri isiyo na uchambuzi kwa sababu nchi zingine asilimia kubwa si wanaofuata dini ya Kiislam wamekuwa wanachama, ama kwa ajili ya historia au kwa mengine.

Umoja unaonyesha kuwa unashughulikia zaidi wanachama wake kama ilivyo taratibu za Umoja wowote ule duniani.

UPIGAJI KURA

Wanaopiga kura ni wanachama, lakini umoja unatoa mwanya kwa `OBSERVER' na dola inapata faida zote za maendeleo bila ya kuwa mwanachama kamili. Kwa kifupi, ni mwanachama ndiye anayefaidikazaidi; na kati ya Mwangalizi na asiye mwanachama, misaada hutolewa zaidi kwa mwanachama.

TANZANIA

Tanzania ni Muungano wa dola mbili yenye katiba moja, ambayo inatamka wazi kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ila wananchi wake wanazo dini zao. Ina maana kidunia Tanzania Secular state-isiyovutiwa na dini ya mtu. Pia katika Katiba Tanzania imeruhusu wananchi wake kuweza kufanya ibada zao wanazoamini bila ya bugudha. Bali Tanzania ni Jamhuri ya Muungano iliyounganisha dola mbili, bila ya kujali ukubwa wala uchumi: lakini katiba imeweka wazi vyombo vya Muungano, yaani moja katika uzito wa jamhuri ni siasa ya mambo ya nje ambacho ni chombo kimoja katika vyombo vinavyosimamiwa na Katiba ya Muungano.

Unapojiunga kuwa mwanachama atakayewakilishwa kwenye vikao vya unongozi wa juu atakuwa Rais wa Jamhuri. Bendera itakayopepea itakuwa ni ile ya Tanzania. Siasa itakayoendeshwa itakuwa H iliyounganishwa kikatiba, yaani siasa ya kimataifa. Kutokana na maelekezo hayo, ushaur wetu ni kama ufuatao.

(a) Kama ni lazima kuwa katika Umoja wa Organisation of the Islamic Conference, tufuatilie msimamo wa Nigeria na Mozambique ambao walikuwa observer; na pia kwa sababu Tanzania imefaidika kupatiwa misaada kutokana IOC kwa ajili ya mradi wa Kibiti-Lindi bila ya I kuwa mwanachama.
1996 TLR p234
SAMATTA JK
(b) Indonesia si mwanachama kutokana na katiba yake, lakini walianza kujiunga kama permanent participant na hadi leo Dunia inaamini wanachama, lakini katiba ilibidi waitafutie mbinu ya kisheria na wakatokana na msimamo huo. Pengine Tanzania tungeendeleza uchunguzi juu ya mtindo huo.

(c) Tanzania inawesa ikawa associate member na itakuwa non voting (sic) member bila ya kupinga katiba ya Jamhuri ya Muungano.

Kwa kumaliza na kwa kukubali kuwa Katiba ni yetu inayotuongoza-uamuzi wetu ni lazima kuangalia maslahi ya Taifa na kuepusha fikra potofu miongoni mwa wananchi wa dola yetu. Hivyo kwa Zanzibar kujiunga peekee ni suala la katiba. Ufumbuzi ni kama nilivyoelezea hapo juu.

(Signed) A Hassan Diria
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA
KIMATAIFA'
 
Dah, nimesikitishwa sana na barua hii ya mchungaji Mtikila to an extent kwamba imebibidi nimshushe kutoka katika kundi la wale niliokuwa nawaona wanamapinduzi wa kweli.
Yaani Unaita Kur'ani kitabu cha Kigaidi halafu unategemea kupata support ya kundi la wananchi waislamu wakuunge mkono katika mjadala huo wa kadhi.
 
Dah, nimesikitishwa sana na barua hii ya mchungaji Mtikila to an extent kwamba imebibidi nimshushe kutoka katika kundi la wale niliokuwa nawaona wanamapinduzi wa kweli.
Yaani Unaita Kur'ani kitabu cha Kigaidi halafu unategemea kupata support ya kundi la wananchi waislamu wakuunge mkono katika mjadala huo wa kadhi.

Hapo ndiyo uzingatie kauli ya Msanii
"naamini kuwa serikali inatambua kuwa dini ni petroli mbaya inayoweza kulipuka hata wa harufu ya moto hivyo wafanze kila njia kutotutenga wala kutugawanya kwa kigezo cha imani". Msanii

Tena ndiyo ujue hatari ya Wanasiasa kutumia dini (rejea Ilani ya CCM wakati wa uchaguzi)kama daraja la kufikia kilele cha Mafanikio ya Kisiasa. Kumbuka ahadi za CCM juu ya Mahakama ya Kadhi na jinsi Rais JK alivyoruka kimanga wakati wa kusimikwa kwa Askf. Alex Malasusa pale Azania Front!
 
Hivi Zanzibar ni "Muslim state"? Yaani ni dola ya kiislamu? Nadhani kuna tofauti kati ya nchi "yenye waislamu wengi" na nchi "ya kiislamu". Nchi yenye waislamu wengi inaweza kuamua na kuwa na katiba inayosema kuwa nchi yao ni ya kiislamu. Hebu wanasheria tusaidieni katika mjadala huu: Zanzibar ni dola? Na je ni dola ya kiislamu? Kwa vigezo vipi?


Natumai ulipata usingizi mzuri....

sasa tuendelee na huu mjadala tuliuachia njiani jana.

Tatiz mzee ni pale nipokuambia kuwa NYERERE na maswahiba zake ndio waliochemsha from day one serikali au nchi ilitakiwa iachane kabisa na mambo ya dini lakini wapi

Nyerere alikuwa cozy na wale wazee wa kiislam na mwenyewe hakulikataa hili wakati wanapinga ukoloni na nadhani mnajua matokeo yake ni nini...

1) Nyimbo ya TAIFA iligeuzwa kuwa kama KWAYA kwani MUNGU anatajwa kila mahala...mimi sielewi kwanini nyumbo ya taifa iwe MUNGU IBARIKI TANZANIA....hivi kama si udini ni nini? hivi tulishindwa kuwa na nchimbo yenye muelekeo wa kipatriotic zaidi ya huo?

2) Baada ya uhuru wale wazee WAKIISLAM waliokuwa cozy na Nyerere wakati wa kugombania uhuru walipigwa chini na hali ilikuwa siku ile uwanja wa Taifa kwani wale wazee na kanzu zao walitupwa kule chini na kule kwenye jukwaa kubwa wakajaa akina KAMBONA nathe rest is history

3) Nyerere pia anatuhumiwa alikuwa too cozy na viongozi wa KIKATOLIKI ambao nao kwa elimu zao nzuri walimjulia na kumweka sawa mpaka akajiasau kabisaaa

4)Watawala waliomfuata Nyerere nao hawakuliacha hili kwani nao waliliendeleza, Mwinyi ilikuwa kila kukicha yuko na viongozi wa kidini Ikulu, MKAPA naye hakuwa mbali kuwahost watu kule ikulu kula futari kwa Tax payers za watanzania ambao wengine si waislam na wengine wasio na dini

ushahidi ni huu hapa:

mkapa019copy.jpg


Sasa tukirudi kwenye mamabo ya OIC:

Wote tunajua kuwa swali la Tanzania kujiunga na OIC lilianzia pale serikali ya Zanzibar ilipoamua kujiunga na taasisi hiyo kwa ajili ya kutaka kufaidika na misaada inayotolewa na taasisi hiyo. Mara zikasikika kelele kutoka upande wa Bara, kwenye vyombo vya habari, kutoka kwa viongozi wa Kikristo na hata wanasiasa wakiilaumu Zanzibar kuwa imevunja katiba. Mwalimu Nyerere akalikemea sana jambo hilo na kuishinikiza Zanzibari ijitoe katika jumuiya hiyo.

Anyway baada ya ile mikelele Zanzibar ikakubali kujitoa kwa sharti kwamba serikali ya Muungano itafanya utafiti kuona kwamba jee Tanzania ijiunge au la.

Kikapita kimya kikubwa bila ya serikali ya Tanzania kueleza kama ililifanyia utafiti suala hilo au imelitia kapuni tu. Katika Baraza la Idd el Fitr katika miaka ya late 90's au early 2000 (sikumbuki vizuri), ambalo lilihudhuriwa na Rais Mkapa (kama kawaida ya watawala wetu) Waislamu walimkabidhi Rais Risala iliyoorodhesha kero walizonazo Waislamu humu nchini na mojawapo ya kero hizo waliikumbusha serikali juu ya hilo suala la Tanzania kujiunga na OIC limefikia wapi?

(ile barua nimeiweka kwenye post yangu iliyopita...)

Of course baada ya kimya kirefu Ben akawajibu waislam na hoja zao

(barua ya majibu ya Ben nayo niliiweka hapo awali)

Sasa yale majibu aliyoyatoa BEN ndiyo yalileta mtafaruku mkubwa kwani waislam wa Bara wakaona kuna CONSPIRACY (kama kawaida yao na saaa zingine hizi conspiracy huwa zinelekea kwenye ukweli) lakini kilichostusha na kuwatia wasiwasi ni shinikizo la Jumuiya ya Makanisa Tanzania (CCT) kumwonya Rais asimamishe mpango wa Tanzania kujiunga na OIC, kwa sababu TANZANIA si ya Waislamu ni suala la kuvunja katiba, lakini kauli hii ya CCT ilituonyesha kuwa kuwa tatizo halikuwa ni uvunjaji wa katiba bali ni la udini!

Na hata Bwana YESU hakukosea aliposema kuwa mtu kabla ya kuangalia kibanzi kilichomo katika jicho la mwenziwe kwanza alitoe boriti lililomo katika jicho lake mwenyewe! Wakati Jumuiya ya Makanisa inaikataza serikali isijiunge na OIC kwa sababu hiyo ni taasisi ya Kiislamu, jee, uhalali wa Tanzania kuwa na uhusiano tena wa Kibalozi na Vatikano Makao Makuu ya Kanisa Katoliki?

Hoja hii ya kuwa na uhusiano na VATICAN hakuna mwana JF hata mmoja aliyeijibu humu na bado nasubiri majibu yao.

Waunguja walisibu waliposema "Wafanye wao tu kiambo, tukifanya sisi liwe jambo!"

Kama ni kosa kwa serikali ya Tanzania kuwa na uhusiano na chombo cha kidini basi kosa hilo huwa linathubutu pale chombo hicho kinapokuwa ni cha Kiislamu tu; lakini kikiwa ni chambo cha kikanisa inakuwa si kosa? CCT hapa kwa hili walichemsha !

Vile vile cha ajabu ni kuwa Jumuiya ya Makanisa ya Tanzania inataka serikali ya Tanzania isiwe na uhusiano na OIC na hali ya kuwa taasisi hiyo haijishughulishi na mambo ya kisiasa na wala haiingilii mambo ya ndani ya nchi mwanachama, lakini CCT inanyamazia uhusiano wa Kibalozi uliopo baina ya serikali ya Tanzania na Kanisa Katoliki wakati wakijua kuwa Kansia hilo linaingilia mambo ya ndani ya Tanzania pamoja na siasa za nchi hii je mbona hili halisemwi?

Serikali ilishalikoroga kwa kuwaweka cozy hawa watu wa dini na sasa ni kazi yake kulisawazisha

Kwa hili namalizia kwa kusema ule msemo wa kiswahili ambao huwa wanautumia wanapokabiliwa na fitna na mbinu za gilba katika kumuelezea mtu huyo nao : ‘Kwa nyakanga hakwishi nyimbo.'

Mmetoa hoja kuhusu KATIBA basi kaeni sawa ili nikupeni kuhusu futna nyingine iliyofanyika kuhusu mabadiliko ya katiba
 

si lazima Tanzania ijiunge lakini ZANZIBAR inaweza kujiunga

Sioni tatizo

vile vile naomba kama una nafasi ujibu hoja zangu nilizozitoa hapo juu

when India applied for membership of the Organisation of the Islamic Conference (OIC), the response was extraordinary. A country with 120 million Muslim citizens applied to membership and what happened? Islamic countries, in typical naiveté, rejected the Indian application

game theory kama swala la kujiunga halihusiani na siasa za kiislamu kwa nini india yenye waislamu wote hawa ilikataliwa?
 
Li-muungano limekuwa irrelevant na Zanzibar imekuwa nuance. Yengele kama hili ni dalili za mke aliyechoka na yu tayari kwa talaka, kuendelea kumbembeleza ni kujitakia dhahama za bila sababu. Itafutwe a way out of this bs, walioleta muungano wameshajifia na huu muungano mie naona bora uwafuate huko walipo.
Hili nalo ni miongoni mwa mengi ya matatizo Marehemu Julius alotuletea na kutuachia wa-Tanganyika!!!. Enuff is enuff, let 'em go.

Sasa usishangae, huyo mke hataki kuachika. Ataendelea kukupigia kelele humo humo ndani; lakini ukimwambia toka haondoki, kwani hawezi kuacha faida unazompatia. Hapo ndipo palipo na sokomoko, itabidi uweke pamba masikioni ili usizisikie kelele.
 
Sasa usishangae, huyo mke hataki kuachika. Ataendelea kukupigia kelele humo humo ndani; lakini ukimwambia toka haondoki, kwani hawezi kuacha faida unazompatia. Hapo ndipo palipo na sokomoko, itabidi uweke pamba masikioni ili usizisikie kelele.

Dawa ni kumpa taraka kwa nguvu aende zake awe na uhuru wa kufanya atakalo kwani inaonekana hakubaliani na taratibu za ndoa.Umoja wa soviety uko waki lakini Urusi ipo na inadunda kama kawa.Hivi kuvunjika kwa huu muungano itakuwa ndo mwisho wa Tanganyika??
Unajua huyu mwanamke anatamani vitu vya nje na wakati huohuo anavitaka bila kuangalia mkatababa wa ndoa aliousaini unasemaje.Unamruhusu kufanya hivyo au hapana.
 
when India applied for membership of the Organisation of the Islamic Conference (OIC), the response was extraordinary. A country with 120 million Muslim citizens applied to membership and what happened? Islamic countries, in typical naiveté, rejected the Indian application

game theory kama swala la kujiunga halihusiani na siasa za kiislamu kwa nini india yenye waislamu wote hawa ilikataliwa?

Sijui sababu za India kukataliwa lakini kama unazo data za au source ya hiyo basi naomba utuletee ila kwa haraka haraka kama mtu ambaye nilifanya specialization ya Politics, Religion and Terrorism in Asia naweza kukuambia kuwa nina qualify katika kukupa tuu maoni yangu binafsi ambayo si technical sana kwani ndio faida ya kusomea Humanities

Kwanza kabisa population ya waislam india siyo 120 bali ni approximately to 140 hivyo jaribu ku update stats zako

Pili siwezi kujump the gun na kuna na sweeping statements uliyotumia hapo ya "typical naivety ya Muslim countries" sasa ulifikia vipi hiyo conclusion bila ya kutoa sababu ya India kukataliwa hiyo membership ya OIC?


Tunaomba utueleze ni lini India iliapply kujiunga na OIC?


Kwa taarifa yako India kama nchi ambayo inapenda kujipride kama ni ya kisecular lakini in Truth hiyo ni kiini macho kwani ni nchi ambayo imejaa HINDU NATIONALISTS ambao wana influence katika kila aspect of Indian Government!


Je hebu niambie ilikuwaje serikali ambayo inajiita ya kisecular ikaingialia mambo ya dini zingine?

Mfano mzuri ni kesi ya huyu mama kwa jina la SHAH BANO

2003081000221501.jpg


Japo hii kesi ilimsaidia huyu mama kupata rights zake lakini ukweli ni kuwa serikali ya India (by then ilikuwa ikiongozwa na chama cha congress) ilichemsha lakini ukweli ulibaki kuwa India had failed with its secular experiment


Suala lingine ambalo nilitaka nikugusie ni kuwa kuna possibility kuwa wakati India wana apply u member huko OIC inawezekana kuwa kukataliwa kwake hakukutokana na pressure from OIC bali ni kutoka kwa hao ma hindu nationalists ambao in their view Muslims as sedious, and fundamentally loyal to Pakistan ambo ni maadui wao wakubwa

Vile vile inawezekana kuwa India iliomba membership wa OIC wakati ule ambao msikiti wa Babri kule Ayodhya ulipovunjwa na wahindu wenye siasa kali na mind you kipindi hicho chama cha BJP cha bwana Vijpayee ndicho kilikuwa madarakani sasa hebu niambie kama PJB na sera zao za Hidutva walishindwa kuwastiri waislam ulitegemea OIC wangefikia maamuzi gani?

Ndio maana nikakuomba uje na data kamili za lini India iliomba membership OIC na sababu zipi zilikuwa cited kwa nini walikataliwa kuwa member was OIC
 
About OIC

The Organization of the Islamic Conference (OIC) is an inter-governmental organization grouping fifty-seven States. These States decided to pool their resources together, combine their efforts and speak with one voice to safeguard the interest and ensure the progress and well-being of their peoples and those of other Muslims in the world over.

The Organization was established in Rabat, Kingdom of Morocco, on 12 Rajab 1389H (25 September 1969) when the First meeting of the leaders of the Islamic world was held in this city in the wake of the criminal arson perpetrated on 21 August 1969 by Zionist elements against Al-Aqsa Mosque, in occupied Jerusalem. It was indeed in order to defend the honour, dignity and faith of the Muslims, to face this bitter challenge launched in the holy city of Al-Quds so dear to them and against the Mosque of Al-Aqsa, the first Qibla and third holiest Shrine of Islam, that the leaders of the Muslim world, at their Summit in Rabat, seized that event - which brought about unanimous worldwide condemnation and reprobation - to think together of their common cause and muster the force required to overcome their differences, unite and lay the foundations of this large grouping of States, that is, the Organization of the Islamic Conference which they entrusted, in absolute priority, with liberating Jerusalem and Al-Aqsa from Zionist occupation.

Six months after that historical meeting, i.e. in Muharram 1390H (March 1970), the First Islamic Conference of Ministers of Foreign Affairs held in Jeddah set up a permanent General Secretariat, to ensure a liaison among Member States and charged it to coordinate their action. The Conference appointed its Secretary General and chose Jeddah as the Headquarters of the Organization, pending the liberation of Jerusalem, which would be the permanent Headquarters.

Two and a half years after Rabat, in Muharram 1392H (February 1972), the Islamic Conference of Foreign Ministers, meeting in its Third Session, adopted the Charter of the Organization, whose purpose is to strengthen solidarity and cooperation among Islamic States in the political, economic, cultural, scientific and social fields.

Under the Charter, the Organization aims to:

1. Strengthen:
a) Islamic solidarity among Member States;
b) Cooperation in the political, economic, social, cultural and scientific fields:
c) The struggle of all Muslim people to safeguard their dignity, independence and national rights.

2. Coordinate action to:
a) Safeguard the Holy Places;
b) Support the struggle of the Palestinian people and assist them in recovering their rights and liberating their occupied territories.

3. Work to:
a) Eliminate racial discrimination and all forms of colonialism;
b) Create a favorable atmosphere for the promotion of cooperation and understanding between Member States and other countries.

The Charter also enumerates principles which OIC Member States undertake to inspire themselves from, in order to achieve the objectives of the Organization.

The Charter also enumerates the principles governing OIC activities, namely:

Full equality among Member States

Observation of the right to self determination and non-interference in the internal affairs of Member States

Observation of the sovereignty, independence and territorial integrity of each State

The settlement of any dispute that might arise among Member States by peaceful means such as negotiations, mediation, conciliation and arbitration

A pledge to refrain, in relations among Member States, from resorting to force or threatening to resort to the use of force against the unity and territorial integrity or the political independence of any one of them




In order to achieve its objectives, the Organization has main bodies, secondary organs, institutions and specialized committees.




The Islamic Conference is composed of the following main bodies:




The Conference of Kings and Heads of State and Government, is the supreme authority of the Organization which meets once every three years to lay down the Organization's policy

The Conference of Foreign Ministers, which meets once a year to examine a progress report on the implementation of its decisions taken within the framework of the policy defined by the Islamic Summit

The General Secretariat, which is the executive organ of the Organization, entrusted with the implementation of the decisions of the two preceding bodies




In order to coordinate and boost its action, align its view points and stands, and be credited with concrete results in the various fields of cooperation: political, economic, cultural, social, spiritual and scientific, among Member States, the Organization has created different committees, nearly all, at ministerial level, a number of which are chaired by Heads of State. The Al-Quds Committee, the Standing Committee for Information and Cultural Affairs (COMIAC), the Standing Committee for Economic and Trade Cooperation (COMCEC), the Standing Committee for Scientific and Technical Cooperation (COMSTECH) and the Islamic Peace Committee are the ones Chaired by Heads of State. Fourteen Committees which have been thus established, deal with other important issues such as Palestine, the Sahel, Afghanistan, Kashmir etc.

The number and types of secondary organs and institutions, working toward the achievement of the OIC objectives, have been steadily increasing, and cover various areas of cultural, scientific, economic, legal, financial, sports, technological, educational, media, as well as vocational, social and humanitarian. Depending on their degree of autonomy vis-a-vis the parent organization, they are classified as subsidiary and specialized organs, or affiliated institutions.

Last but not least, it is worth mentioning that by the 3rd year of the World Decade for Cultural Development launched by the United Nations in 1988 under the auspices of UNESCO - the Organization of the Islamic Conference had built Islamic Colleges, and Cultural Institutes and Centres to spread Islamic culture and dispense the Teaching of Arabic, the language of the Holy Qur'an, as well as other languages.
 
Back
Top Bottom