• Hatukuwa na uhaba wa dollar
  • Hatukuwa na uhaba wa umeme
  • Hatukuwa na ufisadi uliokithiri
  • Hatukuwa na huduma mbovu kwenye ofisi za umma
 
Mimi ni Kamanda na kada mtiifu wa Chadema. Leo nimewaasili mapema ili nishiriki maadhimisho ya shujaa wa Afrika. Hayati JPM . Kwa sasa nipo Chato.

Sipendi ufisadi na utapeli wa kisiasa kama wa Mbowe..

Ndio maana nilimkubali hayati JPM.

Huu upotoshaji eti Chato iligeuka Gabdolite ni upuuzi na ushenzi wa Makamanda wenzangu wanaofikiri kwa makalio na makamasi.

Chato ipo kama wilaya zingine tu hapa Tanzania.

Hizi traffick light nilizoziona hala Muungano Chato ni za kawaida kabisa.

Hiyo stendi mpya ya Kahumo ni ya kawaida kabisa. Maana mabasi ya kila namna yanapit hapa Chato. Yalihitaji stendi ya kisasa.

Barabara za lami ni za kawaida kabisa ambazo kuwepo Wilayani ni kawaida.

Upuuzi na chuki za Makamanda wenzangu ulifanya wajisahau kuwa Hayati JPM alikomboa taif letu kwa miaka mitano dhidi ya wahuni na mafisadi wa CCM.
 
Take a mido finger
 
Wewe mbwa ulishafukuzwa Chadema kwa wizi na CCM ulikokimbilia wamekumwaga.
 
He is our sons's legacy

Ametusaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Tango nyoso na mitema na biso ya mitema. FOREVER IN OUR HEARTS.
 
Chuma my foot! Kama kuna siku watanzania walikuwa na furaha kubwa basi ni siku na tarehe kama ya leo 2021.

Bila polisi kuingilia kati watu wangeingia mitaani kuandamana kwa furaha.
Hahahaahaha.....
Hahahaaaaaa.....
Aiseeee...... hahahaaaaaaaaaa....
 
Chuma my foot! Kama kuna siku watanzania walikuwa na furaha kubwa basi ni siku na tarehe kama ya leo 2021.

Bila polisi kuingilia kati watu wangeingia mitaani kuandamana kwa furaha.
Duuh......
Watanzania gani unaowazungumzia?
Au watanzania wanaoishi nje ya nchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom