Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kweli kbsa
Vile napenda Aman sitokuwa mwanzilishi
That ma humble sister, kiwekyo nanga ya Ruwa.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kweli kbsa
Vile napenda Aman sitokuwa mwanzilishi
[emoji120] [emoji120]Laeni sekoni lanye
Mlale salama acha nipumzishe hizi mbavu
Cc Neybright msaada tafadhali[emoji125]Huyu hunter in yupi kaka? Maana duuuh huu ujiran huu jaman
Kamoyo kangu et sio ka chuma
Huu mguno vipi mkuu, usalama upo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu kiumbe aliyemteka atakua ana ujuzi wa kiintelijensia wa hali ya juu.
Ngumu kumesaaNwaona mcho msacha oko mkunde, napigwa Chang's LA macho mchana kweupe peeee
Sijamuona kitambo sana aijui kapotelea wapiWasalaam, wapi bundi Thad komredi?
Mbona waguna
Hyo shot gun angejua angeifichamlinzi wa leo
Demiss,please! naomba utuwekee ule uzi wako wa kwanza hapa tuchangie..Usiku mwema jaman muote mnakimbizwa na mamisukule mazombi yenye damu mdomon katikati ya makaburi huku yakipiga kelele na bundi wakitoa sauti wakat huo moshi Ukiwa unatoka kwenye makaburi misalaba ya makaburi Ikiwa inatetemeka na kutembeaaaaa