Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
MchawiiiNani anakesha leo
MchawiiiNani anakesha leo
Si unajua kuwa nafanyaje mida hii?Si nmekuchatisha kule ukagoma...ngoja niwatafute tu hawa uku
Ashindwe!!!Mchawiii
Demis wangu lini utanipa nafasi nikupe ya moyoni?Mchawiii
Nani anakesha leo





Me mzima kipenz hofu kwako, baeAiseee yum yum..mzima ww
Washika mapembe mnagombana sio?![]()
![]()
arrghhh
Umejuaje wivu wake lkn bbyHuyu wivu wake si unaufahamu vyema
Nikupe kampani?Mimi nakesha leo macho makavu sijui wanga watapita vipi leo hapa kwangu![]()
Funguka tu wanga wameshalalaDemis wangu lini utanipa nafasi nikupe ya moyoni?
Tokea nikutongodhe mwaka jana hadi leo hujanipa jibu.Umejuaje wivu wake lkn bby
Ujue moyo wangu si wa chuma
Na alegeeee apite mbaliAshindwe!!!
Na alegeeee apite mbaliAshindwe!!!
AbeeejEi jeZz
Hahahhahahh single shida sana
Mwenzako nishakufa hivyo hadi nimezimika.Funguka tu wanga wameshalala
Umenifanya nicheke kwa nguvu, shida tu niachwe na baridi hiiTokea nikutongodhe mwaka jana hadi leo hujanipa jibu.
Nini lakini jamani jj
Umejuaje wivu wake lkn bby
Ujue moyo wangu si wa chuma
Hahahaha, nawasalimu kwa jina la usiku mnonoHuyu wivu wake si unaufahamu vyema

Kama bado unataka mapenzi ya 90s basi wacha nikupe moyoooo wangu bila kikwazoooMwenzako nishakufa hivyo hadi nimezimika.
Kila glass nikinywa maji nakuona kwenye glass. Naweza nikakupa kabisa moyo wangu ukachukulie mkopo benki kwa jinsi nilivyokuelewa