Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
Fujo gani tenaAcha fujo mda bado.
Fujo gani tenaAcha fujo mda bado.
Napotea wapi nilkuwa kwenye seminar na mshana tuanze kumloga nan hapa jf
Huyu wivu wake si unaufahamu vyemaHuyu hata simuelewi, labda Kichwa Kichafu atakuwa na data zake
HahahaKK mwenyewe haeleweki siku hizi
Haha kashakua best yakodingimtoto usiku mwema best yangu.
MamboHahaha
Asante comrade nawe pia nipo na inna hapa tunakula ugal kwa kachumbalidingimtoto usiku mwema best yangu.
Aiseee yum yum..mzima wwAsante comrade nawe pia nipo na inna hapa tunakula ugal kwa kachumbaliView attachment 676767
Lala sasa hivi.Aiseee yum yum..mzima ww
Si nmekuchatisha kule ukagoma...ngoja niwatafute tu hawa ukuLala sasa hivi.
Unachatisha wanaume usiku wote huu? Huna mume?
KaribuHuu uzi sijawahi Kuchingia ila nasikia ni special kwa mabachela.Namimi Leo shemeji kasafiri ngoja nijitose ili tukeshe wote