JamiiForums Usiku wa manane
Usiku mwema jaman muote mnakimbizwa na mamisukule mazombi yenye damu mdomon katikati ya makaburi huku yakipiga kelele na bundi wakitoa sauti wakat huo moshi Ukiwa unatoka kwenye makaburi misalaba ya makaburi Ikiwa inatetemeka na kutembeaaaaa
hahaha
 
Nimepamic huko nchi ya ma shithole!!!
Ila shithole mie nitakuja tu,vip shithole wenu pogba Myweather yupo?
Vip Grace Mugabe?
Na je,huyu mwenye dushe nukta yupo?
Ni saa ngp huko?
 
Bado majogoo hayajawika mkuu karibuuu shit hole mwenzetu
 
asante sn,maana nasikia Trump kagusa pale pale.
Maafrika sisi bwana!!
Et magazeti yanajifungia yenyewe,Halafu Trump akisema et ni mbaguzi huh!!!Kwa u shithole huo wa viranja!!!
Watanzania katiba mpya na tume huru ndo kila kitu vinginevyo tabu tupu.Taifa limegawanyika kabisa.
 
Wewe huku hatuongei siasa, sisi huku tunastory zetu za chit chat. Mbona kuna majukwaa huko ya kisiasa, si uelekee huko.

Ni vyema ukaangalia tag za eneo kabla hujaandika kitu la sivyo ukipigwa ban usilalamike.
 
Stori za mchana unaleta usiku.umekaanga bisi kwa makaa ya mawe?mwehu weee
 
Wewe huku hatuongei siasa, sisi huku tunastory zetu za chit chat. Mbona kuna majukwaa huko ya kisiasa, si uelekee huko.

Ni vyema ukaangalia tag za eneo kabla hujaandika kitu la sivyo ukipigwa ban usilalamike.
huyu sijui katokea wapi! leo mlinzi nani pale getini?humu hakuna mwanasiasa hata mmoja,ni mapopo na mabundi tuu
 
saa0413 bado nipo jukwaani naona leo mnashindana kukoroma,ila wadada mnakoroma aisee! naona hapa vidume vimechemsha
 
Back
Top Bottom