Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Wasalaam, wapi bundi Thad komredi?
Wasalaam, wapi bundi Thad komredi?
Sijambo shikamooHujambo
Ila ukiona moto unawaka pls usiniache mwenyewe![]()
![]()
![]()
![]()
Unajua mila haziruhusu msacha kuingilia mazungumzo ya mshiki wake na hunter wa mshiki?![]()
![]()
Na kweli wamepotea gaflaNaona mtakatifu kaja, paap na wewe ukapotea ghafla![]()
![]()
Ney kipenzi, karibu kundiniSijambo shikamoo
Ikyo nkyo kidedo mshiki oko mcha, kwa hilo sintokuacha, siku zote damu ni nzito kuliko majiIla ukiona moto unawaka pls usiniache mwenyewe

Mmh hii salamu sio bure kuna mtu anataka kunyimwa kitu hapaSijambo shikamoo

Anza kujiandaa maana sio kwa uwazi huu anaouonyeshaIkyo nkyo kidedo mshiki oko mcha, kwa hilo sintokuacha, siku zote damu ni nzito kuliko maji![]()
Asanteh mpz, Ila sijiwezi siku hiziNey kipenzi, karibu kundini
Tuko wengi so usijali. Sikuh unaweza karibu.Asanteh mpz, Ila sijiwezi siku hizi
Huyu hunter in yupi kaka? Maana duuuh huu ujiran huu jamanMmh hii salamu sio bure kuna mtu anataka kunyimwa kitu hapa
Nakusalimia jirani mtukuka wa hunter![]()
Hahaha, leo ndo nimeamini mafahali wawili hawakai zizi moja, Inna baada ya kugonganisha magari amebaki kuchungulia mtanangeIla ukiona moto unawaka pls usiniache mwenyewe

Hahaha ila isiwe ndo sababu ya kuwasha moto, sababu unajua kuna mzimajiHaya a
Anza kujiandaa maana sio kwa uwazi huu anaouonyesha
Teh

Labda tumsubiri, ataibuka hapa muda sio mrefu huenda alikua anahamisha kila fahali liwe na zizi lake, kuepusha vurumaiHahahahhahaha kaka jaman weweeee
(naota)Kweli kbsaHahaha ila isiwe ndo sababu ya kuwasha moto, sababu unajua kuna mzimaji
Kabla sijaanza kuzima moto lazima niangalie chanzo chake nini , mioto mingine haizimiki ujue![]()