Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,084
Jambo zuri. Jiandae sasa tutoke out, watoto wameshalala.Namshukuru Mungu kwa kweli,ni njema kabisa
Jambo zuri. Jiandae sasa tutoke out, watoto wameshalala.Namshukuru Mungu kwa kweli,ni njema kabisa
Ni kunyata tu hapa,hawachelewi kushtuka😂😂Jambo zuri. Jiandae sasa tutoke out, watoto wameshalala.
Hatari sanaNi kunyata tu hapa,hawachelewi kushtuka😂😂
Umeamkaje mom?Amkeni sasa
Nimeamka poa mpenzi. Za siku tele? Natumaini uko mzimaUmeamkaje mom?
Amefufuka kwelikweli🙏🏽hello da kidoti,, kristo amefufuka
Niko poa,barikiwaNimeamka poa mpenzi. Za siku tele? Natumaini uko mzima