elixer of life
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 626
Dah mie bado nahangaikia hizo mishe misheBinafsi nimeshaacha mishe kabisa, maana hata nikizifanya haziniingizii chochote naona najichosha bure![]()
![]()
![]()
Dah mie bado nahangaikia hizo mishe misheBinafsi nimeshaacha mishe kabisa, maana hata nikizifanya haziniingizii chochote naona najichosha bure![]()
![]()
![]()
Nipe huo mstari niusome kesho nikiwa nimetulia nahisi umeongeza maneno yako hapa"Mvinyo hudhihaki, kileo huleta ugomvi na akosae kwa vitu ivyo hana hekima"
Na kwako pia komredi japo hii lugha imenipiga ngwara ila nimeelewaMarry Christmas Jf members

Achana nazo kiongozi uwe unakuja kijiweni kwetu tushinde tunapiga storiDah mie bado nahangaikia hizo mishe mishe
Achana nazo kiongozi uwe unakuja kijiweni kwetu tushinde tunapiga stori
hatari sana watoto na wife hawato kulaKaribu,nitakutafutia sh.1 moja za kulipa zakaAisee, basi nimejitolea kuwa ulinzi shirikishi wako kuanzia sasa![]()
Umeelewaje? Hebu nambie usijekuwa umetafsiri kichagaNa kwako pia komredi japo hii lugha imenipiga ngwara ila nimeelewa![]()
Hahaha kasome mithali 20 mstari wa kwanza kwa umakini.Nipe huo mstari niusome kesho nikiwa nimetulia nahisi umeongeza maneno yako hapa
Pande zipiKama kawaidaa
Wapi hy nipite hapoTupo tunaangalia baikoko hapa.
Naona unataka mwenzako na yeye aanze kushinda kwenye bar nakuvizia ofa, huyo ni pepo na namkemea kwa nguvu zoteAchana nazo kiongozi uwe unakuja kijiweni kwetu tushinde tunapiga stori

HahahaNdio naingia ivoo jirani usifunge kwanza
Unaongea na mie au simu....Wakuu naona wivu kanunaaaa....kesho nayo siku
Hiyo ilikuwa juzi bhana....Mapema sana, hata tar 25 haijafika
Nipe funguoNafungua mlango, tukumbuke kusali jamani