JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Rudi bhana, uliza kwanza huo msaada wenye mashiko ni upi, utajikuta unakata simu za BIKO bure ukizani ni kastama kea wanakwambia uchague ringtoni[emoji40] [emoji125]
Huyo sio,anavizia kuvunja nyumba ya watu aibe balime...[emoji4] [emoji4] [emoji4] Tena umenikumbusha kesho natakiwa kwenda BIKO kuchukua mshiko nimetangazwa mshindi leo
 
Back
Top Bottom