JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi hizi alerts za jamii forums za siku hizi mbona haziko sawa ? Zamani ilikuwa inatokea pale mtu amelike au kureply hoja yako , siku hizi zinajitokeza hovyo tu , bora wazirekebishe ziwe kama zamani
 
Back
Top Bottom