JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Huyo sio,anavizia kuvunja nyumba ya watu aibe balime...[emoji4] [emoji4] [emoji4] Tena umenikumbusha kesho natakiwa kwenda BIKO kuchukua mshiko nimetangazwa mshindi leo
Ohoooh, unaongea na mimi au unaongea na simu, hili jambo sio la kuongea hapa ngoja nije sirini[emoji40]
Halafu pia usisahau nimefungua kanisa na tunapokea mafungu ya kumi. Ujue kwenye fungu la kumi kuna Baraka tele[emoji39]
 
Naongea na wewe mbona MwanaFA alishajibu hilo.

Hongera sana kwa kufungua kanisa.
Fungu la kumi kwangu ndio mahali pake,ndio maana kila nikienda kanisani napeleka sh.kumi kumi
 
Aisee, basi nimejitolea kuwa ulinzi shirikishi wako kuanzia sasa[emoji41]
 
Back
Top Bottom