Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,470
Niko goodNa wewe pia jirani.
Umeamkaje?
Niko goodNa wewe pia jirani.
Umeamkaje?
SawaBasi nafunga saivi
Kwakua najua siku za siku kuu kama hivi hata wale ambao hawaendagi kanisani leo wanaenda hivyo nimewahi kiti mapemaaaa kuhofia kusimama kutokama na watu kiwa wengi kanisani leoTuko st Peter tayari toka SAA kumi na moja
Hahaha ,nami hivyo hivyo nimewahi kiti mapemaKwakua najua siku za siku kuu kama hivi hata wale ambao hawaendagi kanisani leo wanaenda hivyo nimewahi kiti mapemaaaa kuhofia kusimama kutokama na watu kiwa wengi kanisani leo
Alafu weww hujagi kanisaniHahaha ,nami hivyo hivyo nimewahi kiti mapema
Bana wee ,Mkosefu mmnisameheAlafu weww hujagi kanisani
Mungu ndio mwenye jukumu hiloBana wee ,Mkosefu mmnisamehe
Ndio tunamuomba hapa mkuuMungu ndio mwenye jukumu hilo
Muda wa genge umeshapita na malango yamefungwa. Tusubiri ile mida yetu tulonge, siyo sasa!Mapopo wenzangu tuliokuwa pamoja usiku wa manane mko poa?View attachment 658706
Mmmh! Mbona umefungua mapema? Kwani manane tayari?Muda wa watoto kwenda kulala mapopo mpoooo?
Ana hamuMmmh! Mbona umefungua mapema? Kwani manane tayari?
Ati nini? Anza kujikemea wewe uliyeenda kuvizia ofa za mbege kishumunduNaona unataka mwenzako na yeye aanze kushinda kwenye bar nakuvizia ofa, huyo ni pepo na namkemea kwa nguvu zote![]()