sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,350
Si unaona kunapambazuka popo mwenzetuMapopo mbona mnakimbia tena kulikoni?
Si unaona kunapambazuka popo mwenzetuMapopo mbona mnakimbia tena kulikoni?
Nimejipulizia rungu mwili mzima lakini mbu nopa sana hawaelewi kabisa, nimekula sindano za nguvu hapa mwili wote unawasha tuHatimae kumekucha baada ya kuliwa sana na mbu.
Wewe umelala ndani, sisi wenzako tupo njeNafungua mlango, tukumbuke kusali jamani
Aisee nimeamua niashumu usingizi umekwisha.Nimejipulizia rungu mwili mzima lakini mbu nopa sana hawaelewi kabisa, nimekula sindano za nguvu hapa mwili wote unawasha tu
Poa poa Christmas njema mkuuAisee nimeamua niashumu usingizi umekwisha.
ThAD bhana, aaaah!Hiyo ni lugha gani aiser
Na wewe pia jirani.Hahaha
Heri ya siku kuu ya Christmas Jirani
Habari za likizo mwanfunziVijana msilale bado mapambano. Mie mzee sipambani tena,nalaa zangu
Ivi jirani kwa nini inapenda kunifanyia ivooNa leo nafunga tena mlango!!!!
Merry Christmas!!!!! Mje mchukue funguo
usiwe unafunga mlango mapema banaBora yeye kalala ndani, mimi nimelala usingiziWewe umelala ndani, sisi wenzako tupo nje
Bahati yako umeshtuka mapema, ungepitiliza tungekula ubwabwa sisiBora yeye kalala ndani, mimi nimelala usingizi
Sijawahi kumiss ubwabwa tena napigaga hadi additionBahati yako umeshtuka mapema, ungepitiliza tungekula ubwabwa sisi
We noma mkuuSijawahi kumiss ubwabwa tena napigaga hadi addition
Tuko st Peter tayari toka SAA kumi na mojaNafungua mlango, tukumbuke kusali jamani

Basi nafunga saiviIvi jirani kwa nini inapenda kunifanyia ivoo![]()
![]()
usiwe unafunga mlango mapema bana