JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

9eafc338ee56d233094517dbe017d5c1.gif


Tusifanyianee rohoo mbaya ujuee we ndugu yangu kabisaaa

Siwezi kukufanyia roho mbaya, wahenga wanasema "vitu vizuri kula na nduguyo"!!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] hatimae! Za Kishumundu mangi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku ni mwendo wa kuzama kwenye mapipa ya mbege na kuibuka na supu ya mbuzi, Jana ndo nimebahatika kuipata mobiteli yangu na Leo nikaenda kununua vocha mjini bado sijarudi ndomana unaniona hewani
Ila nimekuhamu mpaka vidole vinavibrate vyenyewe nikitaipu[emoji39]
 
Back
Top Bottom