JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwahiyo ulivyopata mobiteli yako, ukaenda mjini kuinunulia dola [emoji23] [emoji23]

Ukirudi huku usisahau kuniletea mbege na kisusio aisee.
Hivyo ulishapata hata kabla ya kuomba, alafu kuna ndala za skai wei mpya kabisa nimezikuta kwenye sanduku langu la mbao lazima nikuletee uzitest, hakika nitarudi na masapraiz kibao, kaa mkao wa kusapraiziwa[emoji39]
 
Sapraizi ni sapraiz isipotangazwa ikitangazwa kama hivi si supraiz tena.
(mhenga ktk ubora wangu) [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom