JamiiForums Usiku wa manane
Nachanganyaga nikichoka za kizungu na hamia kwa hawa jamaa pia nikiwachoka na rudi kwa wazungu.
Ukitaka upate utamu wa kuangalia hizi movie za kikorea tafuta zile zakihistoria nzuri sana kama hii ya jumong mimi niliiangalia kuanzia 1-100
df6cf741dc379255d94920e8823ae81e.jpg
 
Back
Top Bottom