Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Hahaha afadhali nimekuona, saivi angalau nitapata usingizi pomoni, usiwe unatoroka walimu wako ovyo bhana, utatuuwa na pressure ujue[emoji6]Naona walimu mnagonganisha vichwa kumtafuta mwanafunzi wenu [emoji23] [emoji23] [emoji23]