sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,350
Fughesh sanaSina neno
Fughesh sanaSina neno
Unaupunyuaa ??Ngoja nikaegeshe kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nikirudi nitafunga geti
Hii Insha yote ya nini mkuuCHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani *CHRIST + MAS.*
Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MATAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.
Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulikana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MATAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita *Siku ya kusanyiko la KRISTO* yaani *CHRISTMAS.*
1. *CHRIST* ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.
2. *MAS* ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni *KUSANYIKO.*
Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni *KUSANYIKO la KRISTO.*
Kwa *WAKRISTO* wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana na neno *X-MASS!.*
Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno *CHRIST* kwa kuweka alama ya *“X”* yaani hakuna KRISTO.
Hiyo ilibadili maana kwa kusomeka *X-MASS.*
X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! Yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS
MUNGU awabariki muwe na maandalizi mema ya *CHRISTMAS* na sio *“X-MASS!”*
Nenda tuNgoja nikaegeshe kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nikirudi nitafunga geti
Tena haswaaaaa ...ebhuuu tuwe begaa kwa miguuu
NimekusomaaaaaHakuna kulala ukitaka kulala taalifu wenzio humu. laasivyo sheria zitafuata mkondo wakeView attachment 658606
Nachanganyaga nikichoka za kizungu na hamia kwa hawa jamaa pia nikiwachoka na rudi kwa wazungu.Mimi hawa jamaa walinitekana kipindi fulan kuanzia kwa jumong ,emperor of wind ,queen sijuiii wahtt make kitambo sana
Uko superNachanganyaga nikichoka za kizungu na hamia kwa hawa jamaa pia nikiwachoka na rudi kwa wazungu.
Huyo ndio Dada mkuu humu, na anaelewa mandhari yote ya usiku mnono, ni mcheshi na hachoshi kukesha nae.Ewaaaaa nilimuonaaa kama vile sijuii yuko na wenyejiii??
Ewaaaaaaah na mm piaaHahahaha, nipo mzima mzima kabisa!!
Hizo emoji zinaonyesha nini mkuu??|b]Hii Insha yote ya nini mkuu![]()
![]()
Labda mkeshaaa wa balimi huo unapataHivi hakuna hata alieenda mkeaha kanisani aturushie ka picha ka ibada ilivyo kuwa
Hahaha angalia usiegeshe kwenye mteremko likapitiliza mtoni komrediNgoja nikaegeshe kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nikirudi nitafunga geti

Angefaa ajenge darasa kufundishia hayoHii Insha yote ya nini mkuu![]()
![]()
Unaupunyuaa ??
Hahaha angalia usiegeshe kwenye mteremko likapitiliza mtoni komredi![]()

Ebhu mwambie akujeee kuna mgeniii anayetaka mwenyejiii kabisaa tukeshe woteHuyo ndio Dada mkuu humu, na anaelewa mandhari yote ya usiku mnono, ni mcheshi na hachoshi kukesha nae.
Kweli kabisa mkuuAngefaa ajenge darasa kufundishia hayo