JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha hapo najua ujanja wote unaishia mfukoni[emoji3]
Bado kuna terminology nyingi sana kule Jeshini. Kuna moja inaitwa all fire available. Huwa inatolewa pale ambapo unagusa maslahi ya maisha yao na wakati hawana namna ya kufanya zaidi ya kujiokoa. Usiombe siku hiyo ikuangukie!

Pale ambapo utamteka [emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji701] [emoji671] unaweza ukapata hasara usiyoihitaji. Kwa hiyo basi "Usilitaje bure jina la Maserati, maana siku ukimteka ghadhabu na adhabu zitakuwa juu yako!"
 
Hahaha, teacher umesahau niko likizo[emoji3] jje's tokea amilikiwe na Kichwa kichafu ndo katoweka kabisa.
Haya sasa hebu niambie mwanafunzi wangu Thad ulipomficha[emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwanafunzi wako mzembe kweli kweli, tangu nimpe chemsha bongo ndio katoweka kabisa na hataki kukusanya, anakuja kuchungulia na kuondoka. Tena akiniona ni nduki kama Usain Bolt
 
Back
Top Bottom