02:02amMoro pa kingese sana. Niliacha Pombe ona wamenifanya nilewe.
Ndio wimbo ninao sikiliza muda huu.Wazee wa kukesha ... muwe na mkesha mwema 😅😅
View attachment 2739172
To yeye yey
Intelligent businessman acha nisogee maeneo yangu kula mbuzi choma kwanza.. Mwana JF ambae atakuwa karibu asogee hapa..
Unazinguana na wife saa hiinimezinguana na wife muda huu sina hata usingizi
