JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mi ninavoachana na demu uwa najaribu kufikiria her negatives tu.

Mfano, alikua ananiomba sana hela, mkorofi, kiburi, alichepuka etc

Acha kufikiria vizuri vyake kama sura, matako yake, anavojua kudinyana etc
 
Demu mmeachana au?
Sorry mkuu nilikuwa namaanisha kuacha pombe suddenly na sio demu....demu ndio tushaachana ila hilo halinisumbui sana tatizo kubwa kwa sasa nataka kuwithdraw alcohol kwa sababu za kiafya hasa kupoteza appetite kbs ya kula ila ndo nisipokunywa usiku hata mmoja napata mawenge balaa sio ya kawaida.
 
Njia ya kujitoa katika ulevi ni kuongea mwenyewe kuwa I'm no longer drunker

Kaa Sehemu yenye utulivu na ujinenee maneno haya

"Mimi sio mlevi mara 30 kila siku"
 
Back
Top Bottom