Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
0021
0014
0014
Yamekusibu yapiiii?Unapambana unajibana, mwenzako asie na malengo hela anayopata anakula bia kidibwi anapata lishangazi lenye kitengo linampa mtaji anatoboa,
Nawewe unatamani una tafta lishangazi linakupa magonjwa.
Kuna mda maisha ni bahati, kaa kwenye njia yako achana na bahati za watu.![]()
Ni kweli kabisa01:41
Mda wa kunyosha viungo
HahahahahahaNi kweli kabisa
Swadakta01:41
Mda wa kunyosha viungo