Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
23:36
Dogoo, kulala kwako mwiko12:00 AM
Ni usiku mwingine tena.
nakula ujana😋Dogoo, kulala kwako mwiko
🤣🤣🤣 Sawasawanakula ujana😋
mbona na wewe unakesha sasa🤣🤣🤣 Sawasawa
Sijui imekuwaje?🤣🤣mbona na wewe unakesha sasa
02:02amMoro pa kingese sana. Niliacha Pombe ona wamenifanya nilewe.
Ndio wimbo ninao sikiliza muda huu.Wazee wa kukesha ... muwe na mkesha mwema 😅😅
View attachment 2739172
To yeye yey
Intelligent businessman acha nisogee maeneo yangu kula mbuzi choma kwanza.. Mwana JF ambae atakuwa karibu asogee hapa..