JamiiForums Usiku wa manane
Uzi wa usiku wa manane una trend saa Nne asubuhi🤓🤓🤓🕯️
Ni hao hao saa Nane usiku walikua macho🤓🤓🤓
 
Eeeh nakupenda ww na ma x wako wote.
Nakupenda ww na dem wako.
Nakupenda ww na boss wako😂😂
Yani mdogo wangu unataka kuangukia kwa huyo dogo wa under 20?

Hebu vumilia kidogo, kuna posa nzuri nzuri tutazipokea soon 😅😅
 
Back
Top Bottom