Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,416
- 96,764
I am 73 bhanamiaka 37 bado hujaona mengi kijana....
I am 73 bhanamiaka 37 bado hujaona mengi kijana....
Dah wana chuo bhana😀😁, I mean no malice to nobodyaisee kijana nimeshindwa kulala hapa, shingo inauma.... hebu nieleze kidogo kuhusu hii ndoa yako tusogeze muda niweze hata kukushauri kijana wangu
kijana tatizo nini....Dah wana chuo bhana😀😁, I mean no malice to nobody
hujambo binti??Nawasalimu tu ndugu
Toka juzi nipo lindoni mkuu...kichanga anaendelea vizuri na anasponsor lindo mubashara kabisa....03:06Leo upo na sisi lindoni. Vipi kichanga anaendeleaje?
Bado upo lindo au umeshatuachia wachache....salama kabisaza saizi....


Kumbe ww ni mbaba mtu mzima nilidhani ni yanki mwenzangu duuh jf ina shangaza sana 😁😁😁😁ukioa pasi kua na pesa ya kutosha utajutia maisha yako yote, mke wangu wa kwanza nilikurupuka tulifunga ndoa nikiwa bado siko vizuri, miaka ya mbeleni alikua akinifanyia vituko vingi, hadi kunisema kwa baadhi ya rafiki zake..... Sikushauri mdogo wangu, tulia kwanza ujitafute.....
Hamna ni utani utani tu bruhKumbe ww ni mbaba mtu mzima nilidhani ni yanki mwenzangu duuh jf ina shangaza sana![]()


Nilitaka nishangae dogo mwenzangu kaoa lini kumbe ni utani,,,, sawasawa mkuuu 👍Hamna ni utani utani tu bruh![]()