Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,386
- 96,687
Wizi Ni kipaji na uzoefu, hata Bantu Lady anajua hilo05:23 umeniangusha asee
Wizi Ni kipaji na uzoefu, hata Bantu Lady anajua hilo05:23 umeniangusha asee
SI naona umegeuka mshauri was ndoa, SI unahisi hio Ni assignment ya professional gani😂😂 mshamba_hachekwikijana tatizo nini....
SI naona umegeuka mshauri was ndoa, SI unahisi hio Ni assignment ya professional ganimshamba_hachekwi

I am wiseLovelovie njoo hapa bebi unibusu waone wivu hawa wazee Analyse Intelligent businessmanEeeh nakupenda ww na ma x wako wote.
Nakupenda ww na dem wako.
Nakupenda ww na boss wako![]()
EhhShikamoo we mdada usiye penda pesa
Dah mbona umeshituka, Kama umesikia una daiwa vikoba😂😂Ehh
Ilisemekana wapi hio jmn
Lovelovie njoo umbusu mdogo wako😂😂😂😂
Kijana kua na heshima!!
Mdomo wangu unauma leoOya mi Nina miaka 73, Lovelovie njoo umbusu mdogo wako mshamba_hachekwi 😂😂
Me hapa leo mdomo wangu unauma
🤣🤣 Nataka huyo huyo hawezi kutongoza wengine 😁😁Yani mdogo wangu unataka kuangukia kwa huyo dogo wa under 20?
Hebu vumilia kidogo, kuna posa nzuri nzuri tutazipokea soon 😅😅
😊😊😊Mwambie huyo Intelligent businessman
mshamba_hachekwi njoo kuna zali la mentali limekuangukia huku 😅😅😅🤣🤣 Nataka huyo huyo hawezi kutongoza wengine 😁😁
🤣🤣🤣mshamba_hachekwi njoo kuna zali la mentali limekuangukia huku 😅😅😅
Jiandae anakuja 😅
Ndiyo mzee nimemfia binti nina malengo nae sitongozi mwanamke mwingine
