mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,302
- 72,047
Shida una I'd Kama msajili line, I mean no malice to nobody
usimcheke mshamba mkuu 😂Shida una I'd Kama msajili line, I mean no malice to nobody
Yalaaa😁😂😀, but bebi 😜PM ilijifunga yenyewe
Unapenda kugegedana khaa😀😂 Mzee wa kupambaniaHuo wa mishangazi sichezi nao mbali 🤣
Mshamba hawezi kuelewausimcheke mshamba mkuu 😂
Inauma, anafanya makusudi kukubaniaa.Inabidi nikapitie kwenye register ya ukoo, pengine naweza kuta jina lako kweli 😅😅😅.
Sasa Intelligent businessman Unaona ndugu yangu kanifungia pm, sasa habari za kifamilia nitampa vipi? 😅😅
za saizi....23:43
Niite dada.Yalaaa😁😂😀, but bebi 😜
Sometimes natamani kuwa double, ila misosi ndo ina nikaba Roho trudie23:43
au sio mfuasi wa elon muskMshamba hawezi kuelewa
Bebi, you are for Mee😜😭😢 LovelovieNiite dada.
🤣🤣🤣
The dude is a true genius, hata Mimi ni Jamaa flani noma kiroho safi. Though wamejaribu kunisimamisha😭😢au sio mfuasi wa elon musk
jikaze kijana, hata elon alipitia struggles..... pambana tukukute kwenye forbes billionaires' list 😂The dude is a true genius, hata Mimi ni Jamaa flani noma kiroho safi. Though wamejaribu kunisimamisha😭😢
hujalala unawaingiza kingi wale malofa 5 uwapige mizinga 😂😂😂😂 Acha kwanza nicheke
hujalala unawaingiza kingi wale malofa 5 uwapige mizinga 😂
We ndo wangu dereva😂😂😂 Acha kwanza nicheke
nakumbuka nilishapigwaga nikaja kusanuka baadae sana, aliweka status amekaa kihuzuni ameandika 'feeling low' nikareply..... akatia huruma wee, hela ikanitoka. Toka siku ile hii michezo nacheza kwa makini sana 😂🤣🤣hua sina mambo ya kuchat nao sana.