Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,703
Kashaninyima tayari. ๐ ๐ ๐
Hiyo adhabu uliyonipa siwezi kufanya bila kampan
Kashaninyima tayari. ๐ ๐ ๐
Poa poa. Wait n see ๐Acha tuone kama kweli ๐
Niko pale nimekaa ๐Poa poa. Wait n see ๐
Leo nipo na lindo ๐ ๐Niko pale nimekaa ๐
But I.... Au Basi๐๐๐Utaelewa badae
Afu Lovelovie SI unifungulie pm๐Utaelewa badae
Kijana haufai kabisa, hauwezi ukalazimisha kujiunga na wezi.Nipo hapa CV nishakabidhi kwa Intelligent businessman emu mpe CV yangu chap nishakula kula 2 kule juu asee usiniangushe hapo parefu
Ushalewa apostleLeo nipo na lindo ๐ ๐
Zile zinahitaji Uzi wake mkuu. Kama ambavyo nilikuahidi kuweka Uzi wa hustling Kisha nikaweka. This time nimemuahidi Mzee wa kupambania nitaweka Uzi wa mashangazi, so mpaka nimalize huo kwanza ๐Analyse SI utuhadithie hata kishory story kuhusu hustles zako kidogo๐๐๐
Huo wa mishangazi sichezi nao mbali ๐คฃZile zinahitaji Uzi wake mkuu. Kama ambavyo nilikuahidi kuweka Uzi wa hustling Kisha nikaweka. This time nimemuahidi Mzee wa kupambania nitaweka Uzi wa mashangazi, so mpaka nimalize huo kwanza ๐
Au sio ๐ ๐Huo wa mishangazi sichezi nao mbali ๐คฃ
Ndio ni nduguDah kaka Intelligent businessman , Unaona mrembo uliyenichagulia ananiwekea vikwazo? ๐ ๐ ๐
Kumbe Mimi na yeye ni ndugu
Haya sawa.But I.... Au Basi๐๐๐
Inabidi nikapitie kwenye register ya ukoo, pengine naweza kuta jina lako kweli ๐ ๐ ๐ .Ndio ni ndugu
Habari za kifamilia utanipa kweny group la watsup la familia.Inabidi nikapitie kwenye register ya ukoo, pengine naweza kuta jina lako kweli ๐ ๐ ๐ .
Sasa Intelligent businessman Unaona ndugu yangu kanifungia pm, sasa habari za kifamilia nitampa vipi? ๐ ๐
Bibi Whatsapp inamsumbua sana. Inabidi ujiunge na peji yetu ya fesibuku pale,mle ndio kuna kila kitu.Habari za kifamilia utanipa kweny group la watsup la familia.
Sawa utaniazima gari ako.Bibi Whatsapp inamsumbua sana. Inabidi ujiunge na peji yetu ya fesibuku pale,mle ndio kuna kila kitu.
Alafu uwahi kulala, kesho ndio unazamu ya kumpeleka Babu hospital ๐ ๐