Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,416
- 96,764
Bebi kina Nani🤔🤔🤣🤣hua sina mambo ya kuchat nao sana.
Bebi kina Nani🤔🤔🤣🤣hua sina mambo ya kuchat nao sana.
Hebu nijuze Kuna Nini 🤔🤔, kafanyajee huyunakumbuka nilishapigwaga nikaja kusanuka baadae sana, aliweka status amekaa kihuzuni ameandika 'feeling low' nikareply..... akatia huruma wee, hela ikanitoka. Toka siku ile hii michezo nacheza kwa makini sana 😂
Wachumba zangu watano.Bebi kina Nani🤔🤔
Hao wanaotia huruma wanakosea sananakumbuka nilishapigwaga nikaja kusanuka baadae sana, aliweka status amekaa kihuzuni ameandika 'feeling low' nikareply..... akatia huruma wee, hela ikanitoka. Toka siku ile hii michezo nacheza kwa makini sana 😂
Nishasema I'mma the next big thingjikaze kijana, hata elon alipitia struggles..... pambana tukukute kwenye forbes billionaires' list 😂
Uzi gani Tena?? HuoWachumba zangu watano.
Siunamjua Babu yetu alivyomkorofi? Hatakagi kabisa kupanda gari, itabidi umbebe mgongoni mpaka hospital. Ndio maana unatakiwa kuamka mapema sanaSawa utaniazima gari ako.
Ujaze mafuta kabisa.
aisee 😂 kwahiyo kuna mbinu mpya??😂uskute bado nachunwa tu sishtuki.... hebu nielimishe, mshamba hachekwi, anaelekezwa....😂Hao wanaotia huruma wanakosea sana
Leo upo na sisi lindoni. Vipi kichanga anaendeleaje?23:43
huyu ni mtaalam wa kuplan na kupiga mizingaHebu nijuze Kuna Nini 🤔🤔, kafanyajee huyu
aisee 😂 kwahiyo kuna mbinu mpya??😂uskute bado nachunwa tu sishtuki.... hebu nielimishe, mshamba hachekwi, anaelekezwa....😂
Mi bado mdogo mpeleke tu wewSiunamjua Babu yetu alivyomkorofi? Hatakagi kabisa kupanda gari, itabidi umbebe mgongoni mpaka hospital. Ndio maana unatakiwa kuamka mapema sana
mzee unahangaika na vibinti unataka kumuumiza shangazi yangu?? muonee huruma...Siunamjua Babu yetu alivyomkorofi? Hatakagi kabisa kupanda gari, itabidi umbebe mgongoni mpaka hospital. Ndio maana unatakiwa kuamka mapema sana
nipe hata hints tu ntajiongeza 😂Aaah siwez toboa siri za wenzangu.
Kuanzisha kwenye uzi upi??, Nambiehuyu ni mtaalam wa kuplan na kupiga mizinga
😅😅😅Mjukuu unamkwepa Babu yako? Nani atamwangalia sasa?Mi bado mdogo mpeleke tu wew
Huyu ni ndugu yangu wa damu kabisa. Kabla hujaanza kummendea, hakikisha CV yako Iko vizuri, maana sitoruhusu vijana wa ovyo mumrubuni 😅😅mzee unahangaika na vibinti unataka kumuumiza shangazi yangu?? muonee huruma...
niko safi kabisa, ndo namaliza shahada yangu ya uhandisi pesa ipoHuyu ni ndugu yangu wa damu kabisa. Kabla hujaanza kummendea, hakikisha CV yako Iko vizuri, maana sitoruhusu vijana wa ovyo mumrubuni 😅😅