JamiiForums Usiku wa manane
Sina ajira wala sio dalali ni chawa
aha kijana mdogo pengine bado unaona nafanya utani ila zingatia sana, usikurupuke kuoa na kupata mtoto, hili jambo nimeweza kujifunza sio kwa yaliyonikuta tu, bali na hata wazee wenzangu ninaowafahamu. Chukua muda, tafakari, chagua vizuri mke, na usichoke kujitafuta kiuchumi.....
 
Kumbe ulipigwa na kitu kizito 😀😁
 
My hobbies and fantasy 👉
👉Movie, music, games
👉Books, eating foods
labda pengine nikushauri kijana, kwa umri wangu huu wa miaka 56 sasa, naona na naamini kabisa kufanya ngono kabla ya ndoa ni sahihi, ikiwa unatumia kinga. Ni vizuri ukajizoesha mambo ya ngono, hata hivyo ni zoezi lenye tija nyingi kwenye afya yako ya mwili na akili....
 
U
aha kijana mdogo pengine bado unaona nafanya utani ila zingatia sana, usikurupuke kuoa na kupata mtoto, hili jambo nimeweza kujifunza sio kwa yaliyonikuta tu, bali na hata wazee wenzangu ninaowafahamu. Chukua muda, tafakari, chagua vizuri mke, na usichoke kujitafuta kiuchumi.....
tani upi? Naoa mwezi wa saba
 
Back
Top Bottom