Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Uniombee bas usiku uhu baba mchungaji nifungeu mgahawa sawahuu uzi ni wa wachawi toka umeanza naukimbia au napita kimya kimya
endeleeni kuwanga ninawakemea kwa nguvu zote😀
Uniombee bas usiku uhu baba mchungaji nifungeu mgahawa sawahuu uzi ni wa wachawi toka umeanza naukimbia au napita kimya kimya
endeleeni kuwanga ninawakemea kwa nguvu zote😀
chill mzee burna hajatoa album.....
Ahahah goodnakuombea sana huku nilipo...
Nakuona mwenyekiti wa wachaw😀Gily bichwaa
upate dem uache nyetoAhahah good
Nataka kuoaupate dem uache nyeto
Mtaalamu wa kupaa na ungo mbali mbaliNakuona mwenyekiti wa wachaw😀
Punguza kwanza drama za kikeNataka kuoa
kwa hizo hela za udalali??Nataka kuoa
Ziip mzeePunguza kwanza drama za kike
Ndiyo mkuukwa hizo hela za udalali??
watakuchapia sanaNdiyo mkuu
Kuna jela mkuu 😅mkuu shida sio mimi shida ni dyudyu 😂 ina haraka sana haisubirii umalize shule....
hatubaki, tunaomba kistaarabu mkuu.... ni ngumu sana kujikaza mpaka sijui eti ufikishe 30s, mabinti wazuri wamejaa mtaani....Kuna jela mkuu 😅
Ase na mim na wachapiawatakuchapia sana
Nyingi sanaaZiip mzee
Kwani uko jela, Ni mtakula hizo mbususu😀😁Kuna jela mkuu 😅
ukioa pasi kua na pesa ya kutosha utajutia maisha yako yote, mke wangu wa kwanza nilikurupuka tulifunga ndoa nikiwa bado siko vizuri, miaka ya mbeleni alikua akinifanyia vituko vingi, hadi kunisema kwa baadhi ya rafiki zake..... Sikushauri mdogo wangu, tulia kwanza ujitafute.....Ase na mim na wachapia
Mbona na mtoto wa miezi sit sasaukioa pasi kua na pesa ya kutosha utajutia maisha yako yote, mke wangu wa kwanza nilikurupuka tulifunga ndoa nikiwa bado siko vizuri, miaka ya mbeleni alikua akinifanyia vituko vingi, hadi kunisema kwa baadhi ya rafiki zake..... Sikushauri mdogo wangu, tulia kwanza ujitafute.....