JamiiForums Usiku wa manane
Katika maisha yangu sijawahi kudanga na sitakuja kudanga. Yaani hata mimi nifilisike, kazi nitoke, pesa za mafao nizimalize zote. Still nina familia yangu namshukuru Mungu kwa wao kuwa vizuri kuwekeza sehemu mbalimbali. So kwa uwezo wa Mungu sitakuja danga. I have God I have all...

Kuhusu hotels muulize Ankol National Anthem akwambie. Mimi kiasili niko so Romantic, so vitu kama hivyo ni vidogo kwangu. Na napenda vitu vizuri sababu naweza kuafford.
Intelligent businessman una lingine?
Afadhali madam Bantu Lady umwambie huyu Intelligent businessman asituchukulie poa et😂😂😂
 
Back
Top Bottom