Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,307
- 96,458
We muache, naona National Anthem anataka kuwa kamaa mwizi shujaaa😀😀😀 nani anataka ugomvi na wajeda aisee
We muache, naona National Anthem anataka kuwa kamaa mwizi shujaaa😀😀😀 nani anataka ugomvi na wajeda aisee
Yani mwiko mchungu aisee, nilicho ambulia ni dawa tu. Maana malaria imeponaDaah kwa hiyo muuza mwiko kakupeleka cha kike 😀😀😀
@fydell Kuna Mambo Kama matatu.👉uamuzi binafsiMwenye dawa ya kuacha pombe🤔
Katika maisha yangu sijawahi kudanga na sitakuja kudanga. Yaani hata mimi nifilisike, kazi nitoke, pesa za mafao nizimalize zote. Still nina familia yangu namshukuru Mungu kwa wao kuwa vizuri kuwekeza sehemu mbalimbali. So kwa uwezo wa Mungu sitakuja danga. I have God I have all...Dahan na Bantu Lady wapo uda ngani cityyy. Maana nimeona o Bantu Lady ana zungumzia hotel za darr mpaka nimeogopaaa
😅😅😅 jamaa nimekutana nae asubuhi kapaki gari tukaanza kuchekeana tuuu.. wahuni banaa watu wa hovyo sanaWe muache, naona National Anthem anataka kuwa kamaa mwizi shujaaa
Uyo jamaa ni wakumuacha uko tu 😂Nilienda polisi kumtoa Mzee wa kupambania. Jamaa alikuwa ngome tokea Jana 😅😅
Hotel lazima ubadirishe , sio kila siku unalala chumba kile kile.. keo naenda Malaika .. sema ndio naenda nalala mwenyewe 🤣🤣Katika maisha yangu sijawahi kudanga na sitakuja kudanga. Yaani hata mimi nifilisike, kazi nitoke, pesa za mafao nizimalize zote. Still nina familia yangu namshukuru Mungu kwa wao kuwa vizuri kuwekeza sehemu mbalimbali. So kwa uwezo wa Mungu sitakuja danga. I have God I have all...
Kuhusu hotels muulize Ankol National Anthem akwambie. Mimi kiasili niko so Romantic, so vitu kama hivyo ni vidogo kwangu. Na napenda vitu vizuri sababu naweza kuafford.
Intelligent businessman una lingine?
Huwezi lala mwenyewe Ankol, warembo wote wale? Unakosaje wa kwenda naye Malaika bana, unaniangusha AnkolHotel lazima ubadirishe , sio kila siku unalala chumba kile kile.. keo naenda Malaika .. sema ndio naenda nalala mwenyewe 🤣🤣
Ulimpa nani mbona hatuna taarifa 😂Nina udhuru ya kimaandishi![]()
Aisee chama Cha wezi kilitaka kumuacha ili ajifunze kutofautisha Kati ya kazi na mapenzi. Lofa Mzee wa kupambaniaNilienda polisi kumtoa Mzee wa kupambania. Jamaa alikuwa ngome tokea Jana 😅😅
😅😅😅 nimekuwa domo zegeee aunt..Huwezi lala mwenyewe Ankol, warembo wote wale? Unakosaje wa kwenda naye Malaika bana, unaniangusha Ankol
We o Bantu Lady, naona unataka shetani alite lala ndani ya National Anthem aamke. Maana Jamaa siku hizi tupo nae chama Cha weziHuwezi lala mwenyewe Ankol, warembo wote wale? Unakosaje wa kwenda naye Malaika bana, unaniangusha Ankol
We ni mwizi kijana, habari za mapenzi achana nazo. It's a warning la sivyo nita kuripoti kwa Mzee wa kupambania akuchomeshe jwa wajedaa😅😅😅 nimekuwa domo zegeee aunt..
😅😅😅 mwizi na mapenzi ni kama maji na mafutaWe ni mwizi kijana, habari za mapenzi achana nazo. It's a warning la sivyo nita kuripoti kwa Mzee wa kupambania akuchomeshe jwa wajedaa
Tuna njia 2, aidha kutafuta pesa I'll tumpite mo na bakhresa au kufa Kama malofaaa😅😅😅 mwizi na mapenzi ni kama maji na mafuta
Wala hujaniudhi babaa, kuna dinner mimi na shemeji yako ni vichaa wa dinner. Kuna kupumzika tu weekend get away. Ikifika Alhmisi unaulizwa, weekend unataka kwenda wapi? Sasa hapo unaangalia wapi hujaenda? Ndiyo unajikuta mmezunguka zote na mnazirudia.O Bantu Lady mi nimetania kuhusu Dahan bhana, maana national kaniuliza Yuko wapi??
Afu kuhusu kuogopa, nime maanisha, when can I have the so time to do so.
👉Sorry Kama nimekuuzi boss
👉I mean no malice to anyone
nimechagua njia ya kutafuta pesa tuu.. hiyo ya kuwa lofaa hapana intel Intelligent businessmanTuna njia 2, aidha kutafuta pesa I'll tumpite mo na bakhresa au kufa Kama malofaaa
Yap Bantu Lady Kuna watu pia nawajua au kuwaona wamefika extra mile aisee. Mtu Ana business take mpaka unawaza atake nini tena ila that's how life is.Wala hujaniudhi babaa, kuna dinner mimi na shemeji yako ni vichaa wa dinner. Kuna kupumzika tu weekend get away. Ikifika Alhmisi unaulizwa, weekend unataka kwenda wapi? Sasa hapo unaangalia wapi hujaenda? Ndiyo unajikuta mmezunguka zote na mnazirudia.
Ama kwenda Bagamoyo, Zanzibar or akipata safari nje. Kuna watu wana hela sema muda ndiyo hawana acha tu. Mengine acha ninyamaze, nisimalize maneno. Intelligent businessman