Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,271
- 96,307
Ndioo yoyote tu, weka katika bia nzima. Usisahau mrejeshoMayai ya kienyeji au ya kisasa? Niweke alafu niunywe wote huo mchanganyiko ama?
Ndioo yoyote tu, weka katika bia nzima. Usisahau mrejeshoMayai ya kienyeji au ya kisasa? Niweke alafu niunywe wote huo mchanganyiko ama?
Tukimuacha atafia kule. Maana hana mke, hana mtoto, hana mtu wa karibu![]()



mtoto wake yeye ni konyagi bhna😅😅😊😊 Na K Vantmtoto wake yeye ni konyagi bhna
Wanataka nikale kwao?![]()

tusipate tabu ya kusafirisha mpaka machameOh kumbe mlifika mpaka huku tena!🤔Katika maisha yangu sijawahi kudanga na sitakuja kudanga. Yaani hata mimi nifilisike, kazi nitoke, pesa za mafao nizimalize zote. Still nina familia yangu namshukuru Mungu kwa wao kuwa vizuri kuwekeza sehemu mbalimbali. So kwa uwezo wa Mungu sitakuja danga. I have God I have all...
Kuhusu hotels muulize Ankol National Anthem akwambie. Mimi kiasili niko so Romantic, so vitu kama hivyo ni vidogo kwangu. Na napenda vitu vizuri sababu naweza kuafford.
Intelligent businessman una lingine?
Kabla hawajampata wa kwangu naanza na mademu zao😀😀😀😅😅😅😅 Itakuwa wanamtaka demu wako
😂😂😂Mtu una mambo mengiii kama unga wa ngano😂😂 mara chapati, maandazi, keki sijui vireja looh..Ww sikuiz umekuwa mzembe af sikuiz unipendi
Tena umepata mwingine sio
Sasa unajitafutia kurogwa mkuu 😅😅😅Kabla hawajampata wa kwangu naanza na mademu zao😀😀😀
Nimeaga nilipotoka na nikafanyiwa tambiko Mbuzi wawili weusi walichinjwa waniguse waone moto utakaowarudia 🤣🤣🤣Sasa unajitafutia kurogwa mkuu 😅😅😅
Mwachiluwi ndo kibuti hiko tayari cha hadharani 🤣🤣🤣😂😂😂Mtu una mambo mengiii kama unga wa ngano😂😂 mara chapati, maandazi, keki sijui vireja looh..
Mikwala tu hiyo. Wakikujaribu, unapoteanaNimeaga nilipotoka na nikafanyiwa tambiko Mbuzi wawili weusi walichinjwa waniguse waone moto utakawarudia 🤣🤣🤣
Nina mifumo kama ile ya Marekani ya anga air defense kabla kitu hakijafika juu kwa juu kinadakwaMikwala tu hiyo. Wakikujaribu, unapoteana
😅😅😅 Unajua Mwachiluwi ni mtu wa wapi? Shauri yako 😅😅😅Nina mifumo kama ile ya Marekani ya anga air defense kabla kitu hakijafika juu kwa juu kinadakwa
Sumbawanga kantalamba huko et😂😅😅😅 Unajua Mwachiluwi ni mtu wa wapi? Shauri yako 😅😅😅
🤣🤣🤣 daaah! Yaani hutaki kuona comments zao kabisa sijui san hebu jaribu kuwalima 🧱Msaada nimeignore some fools humu JF. Sema wakicomment naona, but imefichwa. Sitaki hata kuona kabisa je Block itasaidia? Msaada wa haraka 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hana maajabu mtoto wa Sinza yule 😀😀😅😅😅 Unajua Mwachiluwi ni mtu wa wapi? Shauri yako 😅😅😅
Sasa hapo unadhani Mzee wa kupambania atamuweza? 😅😅😅Sumbawanga kantalamba huko et😂
Dahan kasema huyo kwao ni Kantalamba. So, muendee kwa upole 😅Hana maajabu mtoto wa Sinza yule 😀😀