Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,080
- 2,004
02:02
Ukiweza kuachana na hiyo kampani labda itarahisisha kufanikiwa kuachaKuna ukweli katika msemo wako. Kwa hii kampani, mbaya zaidi likizo kuna hata kupumzika mkuu?
Ngoja nijaribu
Yeah ngoja nijitahidi hata kwa wiki niwe naonana nao mara moja au mbili inatosha.Ukiweza kuachana na hiyo kampani labda itarahisisha kufanikiwa kuacha
Amina.... katika jina la Yesu kristo.....navunjaaKemea hilo Pepo la Ponooo na Nyetoo![]()
Tuna kooloma 😂😂😂03:03 nimehamia gheto jipya, ila tatizo nililo liona ni Kila nikipika ugali naona mchungu. Kumbe yule fala aliniuzia mwiko wa mti wa muarobaini.
👉 Bantu Lady Dahan National Anthem, Poor Brain, Mzee wa kupambania, Mwachiluwi, Analyse,
🙏🙏🙏🙏Ni mda wa kusali
Haya koromeeeaaaTuna kooloma 😂😂😂
Jinga ww unalala kama mjusi kwaza wewe 😂😂 ufumbi machoHaya koromeeeaaa
Dogo usituchoshe na hikoo kiingereza, si wengine tumesoma chini ya mbuyuuu na mikaratusiiJinga ww unalala kama mjusi kwaza wewe 😂😂 ufumbi macho
kwani mimi ndio nilikupeleka kwenye hiyo shule ya majini unasomaje chini ya mbuyu 😂😂😂😂Dogo usituchoshe na hikoo kiingereza, si wengine tumesoma chini ya mbuyuuu na mikaratusii
Dogo angaliee nitakupasuaaa hizo kendee ambazo hazijakomaaakwani mimi ndio nilikupeleka kwenye hiyo shule ya majini unasomaje chini ya mbuyu 😂😂😂😂
Si mpaka uwe na uho uwezo ubabe huo una nguvu za maii ya mvua izo ndio usumbue watuDogo angaliee nitakupasuaaa hizo kendee ambazo hazijakomaaa