JamiiForums Usiku wa manane
Banaa wee, nimetongoza demu wa mjeda, alafu nikasahau code flani, nikamtumia message demu wake aje tulale, nikaona kimya nikapiga simu kapokea mwamba mwenyewe, usingizi umeisha nasubiri kesho pakuche nikazichape na mwana.. atae shinda ndio anachukua chombo 😅😅😅
🤣🤣🤣 mjeda atakuua wewe
 
Back
Top Bottom