Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,816
🥰 uwe unasema sasaSalama pia, miss you too ☺️
🥰 uwe unasema sasaSalama pia, miss you too ☺️
Unge oga na mchanga wa baharinIlinibidi maana nzi walikuwa wananifuata kunilamba lamba sikuwa na jinsi ila sikupenda 😒
Sawa 😄🥰 uwe unasema sasa
😁 see you next time😉 kabidhi lindo
06:00
Have a blessed sunday dear 😘😁 see you next time
Thank you 😇 Tubarikiwe soteHave a blessed sunday dear 😘
Amen Amen 🙏Thank you 😇 Tubarikiwe sote
Amen.....hatimaye nimemaliza.Vp umeamkaje?😂 udobi mwema
Mkuu naomba nikuwekee leo jana nilikuwa na usingizi sanaShusha nyingine mzee
Poa poa boss nitashukuru badoMkuu naomba nikuwekee leo jana nilikuwa na usingizi sana
Zipo sema ma jeans tuAlfajiri njema...naamka kufua nguo....kama mnazo chafu nipeni nifue..... oopss..nilisahau kumbe mna dry cleaner![]()


Kwani Yana shida gani kufua?Zipo sema ma jeans tu![]()
Rusumo one Forest Hill Ankol National Anthem siku hizi unalazwa mapema Ankol mtu chake kamanda umepotea lindo lako mazima.
Poa kama unayamuduKwani Yana shida gani kufua?

Haya kumekucha sasa. Bundi na popo ndio mmelala time hii 😅😅Hatujazoea kulala usiku mkuu tuwie radhi masisi
![]()
🙌Haya kumekucha sasa. Bundi na popo ndio mmelala time hii 😅😅