Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,667
😅😅 Naona umejitoa kwenye kundi la bundi na popo
😅😅 Naona umejitoa kwenye kundi la bundi na popo
Hongera na pole na kufua.Amen.....hatimaye nimemaliza.Vp umeamkaje?
BarikiwaHongera na pole na kufua.
Salama sijui wewe?
🙏 vizuri basi na iwe jpili njema kwako na familiaBarikiwa
Niko poa 🤜
Amina🙏 vizuri basi na iwe jpili njema kwako na familia
🤣🤣🤣Nipo mkuu😅😅 Naona umejitoa kwenye kundi la bundi na popo
😅😅😅 Tunalala mchana, na kukesha usiku🤣🤣🤣Nipo mkuu
Ndo ivo....mi Usiku ni mvua imeniamsha😅😅😅 Tunalala mchana, na kukesha usiku
Mvua? Wapi huko ambako mvua zinanyesha??Ndo ivo....mi Usiku ni mvua imeniamsha
MbeyaMvua? Wapi huko ambako mvua zinanyesha??
Mbona nimeshakuibia kitambo National AnthemNimeisha kwapua S23 Ultra
Masaa 4 tuu yani hiki kichwa sijui kina nini😂😂Uwa unalala kweli? 😀
Mbona mi sijalala mpendwaaMasaa 4 tuu yani hiki kichwa sijui kina nini😂😂
Sio kweli...Bhn😂😅😅😅 Tunalala mchana, na kukesha usiku
Nimesema mie in 24 hours 20 hours huwa niko awake.. 😂😂😂Mbona mi sijalala mpendwaa
Ndio ukweli huo. Giza likiingia tu, mnakuwaga active kama popo 😅😅😅Sio kweli...Bhn😂
Mbona hayo masaa4 ni mengi mnoo kwa kulala??Nimesema mie in 24 hours 20 hours huwa niko awake.. 😂😂😂
Hata saev tupo.. Giza likiingia tunakua lindon mkuu😂😂😂Ndio ukweli huo. Giza likiingia tu, mnakuwaga active kama popo 😅😅😅
Eh yanatoshaa... 😂Mbona hayo masaa4 ni mengi mnoo kwa kulala??
Mi nilalaga 1-2 hours onlyEh yanatoshaa... 😂