Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,885
- 51,713
Kwa mawivu yake kishajifunza. Sema kasafiri kamuda kidogo... mimi viungo na mwili unauma nisiende hee
Masaji ni nzuri ila unajiingiza kwenye mdomo wa mamba labda ufanyiwe na wakike mwenzio
Kwa mawivu yake kishajifunza. Sema kasafiri kamuda kidogo... mimi viungo na mwili unauma nisiende hee
Kwanza hao wasanii, nisasa ndiyo kwenda kufanya show off. Zamani ilikuwa watu mashuhuri haswaa na hao wakimbiaji. Wengine sasa wameenda kudanga. Maana ma CEO wengi watakuwa wameendaSijaenda kabisa
Nimesema mfano asupokuepo.. Inakuajee😂😂Umesema yupo wapiwewe
Kwanza hao wasanii, nisasa ndiyo kwenda kufanya show off. Zamani ilikuwa watu mashuhuri haswaa na hao wakimbiaji. Wengine sasa wameenda kudanga. Maana ma CEO wengi watakuwa wameenda
Inapendeza ikiwa hivyo sio wote wanawakeNimesema mfano asupokuepo.. Inakuajee
Alaf kwan massage lazma ufanyiwe na mwanaume?![]()
Wanaovuta bangi ni genious... Sasa assume taifa zima likawa na ma genious what happenKwann mkuuu 💩
DuhHatimaye Tony Rashidi avuliwa ubingwa Kwa udanganyifu wa majaji kumpa ubingwa ambao sio wake Na kupewa aliyepambana nae katika pambano lililofanyika jana- ilikuwa wazi sana kuwa tony rashid kapigwa

HAHAHAHHHA NOMA KAkaDaaah jana nilicheka sana...
Pale mliposema anatumia nguvu kubwa sana😂😂😂😂
Mi mwizi wa kimataifa tu, Tena nilisoma chini ya mkaratusi mwegooJana Intelligent businessman alikuwa na wanafunzi sijui wa kitu gani. Leo wamechelewa kuingia darasani naona
Ni kweli kabisa MkuuNi Jambo zuri, ila kuwa makini kabla ya kuwekeza. Maana inapaswa ujue unawekeza kwanini, katika Nini na ili upate Nini.
Usifate mkumboo, kisa umesikia watu wanapiga pesaa
Ukikataa ndoa halafu?MOJA KWA MOJA KUTOKA PANDE ZA KINONDONI LA SCARINYO💥💥
KATAA NDOA
1:23