Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Kuna mwamba sasa hivi anakoroma huko aliko, sasa subiria Giza liingie ๐ ๐ ๐Hata saev tupo.. Giza likiingia tunakua lindon mkuu๐๐๐
Kuna mwamba sasa hivi anakoroma huko aliko, sasa subiria Giza liingie ๐ ๐ ๐Hata saev tupo.. Giza likiingia tunakua lindon mkuu๐๐๐
Mi nilalaga 1-2 hours only
๐๐๐๐๐๐Kuna mwamba sasa hivi anakoroma huko aliko, sasa subiria Giza liingie ๐ ๐ ๐
Nakubali mzee mzima00:45 kwanza kunywa chai, wenzio walitujadili wakavua tai.
Bantu Lady, Dahan, National Anthem, Mzee wa kupambania, Poor Brain, Mr kenice let's make it again
Hausinzi mchana kweli!?Mi nilalaga 1-2 hours only
Hapana mkuu, afu hilo jina limenikumbusha kitu mkuu.Hausinzi mchana kweli!?
Angalia usizime madam
Tajiriii Mwachiluwi, wapii madam Bantu Lady na mcharuko Dahan na wazee wa mizagamuano National Anthem and Mzee wa kupambania00:04
Tajiriii Mwachiluwi, wapii madam Bantu Lady na mcharuko Dahan na wazee wa mizagamuano National Anthem and Mzee wa kupambania
Huku shamba ni 23:12
Nimenyoa kabisaUmenyoa? Kesho shule
Nimenyoa kabisa
0016 nipo bed but very drunken.
Usiku mwema mlale salama