JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

We mchawi niniii umejuajee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kifaranga kimoja kinasumbua hapaa.. [emoji22][emoji22]nimetoka nacho mbali kisije amsha wenzie apa nawaza nikipe kilambe lambe jaguarmaster kilale looh[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi pigo tunawaachia nyie kitoto kinalia weeeee baba ukikibeba unaweza kula nae mweleka huwa tunasininzia kindezi tokana na majukumu ya kutwa
 
Back
Top Bottom