JamiiForums Usiku wa manane
Wanaume wenye pesa na akili kwenye karne ya 21 hawajao na hawana mpango huo

Tuanzie cr7,dangote,adenuga,bezos,musk,mondi,asake,burna boy,wixkid,fireboy dml,keanu reeves,adesanya,jack dorsey,)

Wote hawa wanaushawishi ila no marriage gf wanatosha na watoto

Hata floyd Mayweather hivyo hivyo anasema marriage is a trap hivyo mi naamuunga mkono fundi bishoo

Maana wake za watu ni cheap kuliko maji ya kunywa I'm talking from experience
 
Marriage is not for everyone
 
Kabsa kuna mkuu kasema apo 👇👇👇

That experience, haiwezi kamwe fanana na ya Iceberg9 au na mtu yoyote so matatizo hayafanani mkuu, pia tambua hatuwezi kuishi kwa kuwa mtu fulani mbona anaishi hivi,mbona matajiri hawaoi je wewe ni tajiri ili uishi kama wao,huenda wanasababu zao hata ukiisikikiza ukashangaa ,,

Jaribuni kupata watu sahihi wa kuwaoa ndoa ni nzuri ukimpata mtu mtulivu wenye malengo na upendo ,usikuvu ,self discipline ,uchaji wa roho,na hawa watu wapo
 
Back
Top Bottom